Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,394
- 271,838
- Thread starter
- #121
Sasa ni dhahiri usalama wake ni hatari zaidi kuliko kipindi chochote kile .
Aiseee !!!Sasa ni dhahiri usalama wake ni hatari zaidi kuliko kipindi chochote kile .
Kwani wewe hutoshi kuwa mlinzi wake wa usiku??View attachment 1061459
Huyu mtu kiukweli anayajua madudu mengi mno ya nchi hii , na kwa jinsi ya maelezo ya kamati ya maadili ya bunge , kuna chuki kubwa sana iliyochanganyika na wivu wa kimasikini uliojaa ushamba mkubwa sana ndani yake dhidi ya Assad.
Nashauri kwenye kipindi hiki cha mpito Profesa huyu aongezewe ulinzi .
Wenye akili wamenielewa .
Siku akitekwa mama yako usije kumlilia mtuHuyo Assad ameenda mapumziko tu na kama kutekwa yeye sasa hana tija wamteke wa nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata tusio na akili kaka tumeelewa BT shida in NANI WA KUMUONGEZEA HUO ULINZI?...au ulimaanisha AJIONGEZEE??View attachment 1061459
Huyu mtu kiukweli anayajua madudu mengi mno ya nchi hii , na kwa jinsi ya maelezo ya kamati ya maadili ya bunge , kuna chuki kubwa sana iliyochanganyika na wivu wa kimasikini uliojaa ushamba mkubwa sana ndani yake dhidi ya Assad.
Nashauri kwenye kipindi hiki cha mpito Profesa huyu aongezewe ulinzi .
Wenye akili wamenielewa .
Puru we.Ulinzi uongezwe huko kwenye ujenzi wa SGR na Stigler HEPD tujue raslimali zinazotokana na eneo linalo husika na ujenzi ni kiasi gani na taifa linafaidika vipi nazo?. Mfano magogo ya miti itakayo katwa.
Yasemekana wachina waliojenga TAZARA baadhi yao ni matajiri wa kutisha huko china kwa utajiri walioutoa kwenye raslimali walizopata maeneo yale yaliyopitiwa na ujenzi.
Tuwe macho tusizalishe matajiri wengineWaturuki, Wabeligiji na Waarabu contractors.
Yuko jamaa mmoja alijenga nyumba yake hakuingia gharama za mchanga. Mchanga aliupata kwenye eneo la ujenzi alipochimba mashimo ya maji taka.
Tuone sasa magogo ya miti itakayo katwa selous yatasaidia vipi kupunguza gharama za ujenzi wa Bwawa la kuzalisha umeme.
Yawezekana uranium iko jirani hapo yote hayo na mengineyo serikali inayojali watu wake iyaangalie..
Shida anaowaongoza wengi vilaza haswa wale Wa kijani na ndo mana gari analipeleka anavyotaka hahahahaaa....Lakini viongozi wa bunge akiwemo Job Ndugai wana elimu nzuri tu .
Acha ujinga kuwa mkweli ndo kujikwaa? tutaendelea kuabudu uwongo kwa ajili ya kulinda matumbo hadi lini?..hatujazoea kukosolewa na hatupendi kukosolewa ni upuuzi.Mshauri CAG akague ulimi wake ulipojikwaa, asihangaike kuzoa maji yaliyo mwaika kwenye mchanga.
He was ryt...hakuna kurudi nyuma huko unapotaka twende tulishapita mzeeUntouchable ndio nini? Prof anatakiwa ajilaumu mwenyewe kwanza na pili kama wako walio mshauri juu ya kauli ya hila kule UNO radio.
Kelele za wananchi zilisaidia .