Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 15,848
- 24,314
Habariiiiiii wakuu,
Nilileta swali hapa jf kisima cha maarifa Kuhusu tatizo la PC yangu kuzima ghafla na (kuwasha taa then kuzima bila kuwasha screen) nime note vitu vifuatavyo::
Baada ya kuiacha kwa wiki 2 bila kuiwasha Jana niliweka betri nikijaribu kuiwasha cha ajabu iliwaka fresh.....na niliitumia kwa muda wa nusu saa
Lkn baada ya betri kuisha chaji nikaona niichomeke kwenye chaji ghafla ikazima mazima (na ile sehemu karibu na betri inatoa harufu)
Imerudi Kama zamani ambapo nikiiwasha inawaka tu zile taa za kijani + nyekundu then inazima, bila kuwasha screen. Mimi nime notice kuwa labda huenda power supply imedead
Wakuu, je tatizo linaweza kuwa nini na kwa hali hii pc yangu inaweza kupona coz imebeba vitu vya muhimu Sana?
Chief-Mkwawa

Tatizo la PC HP nikiiwasha inawaka taa ya kijani (power) halafu inazima
Habari wakuu wa Tech. Nina PC HP Elite book 8440p. Naona imeanza kunipeleka Moto kiasi cha kushindwa kupata usingizi Hii PC nlikua nime ichaji kama kawaida then sikuchomoa betri baada ya siku 4 kuja kuiwasha naona inawaka kile kitaa cha kijani tu.....(KIOO HAKIWAKI) then kile kitaa Kama kina...
www.jamiiforums.com
Chief-Mkwawa