Laptop Haiwaki!!

Laptop Haiwaki!!

myplusbee

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Posts
3,612
Reaction score
6,161
Waungwana wa tech salaam!

Nina tatizo. Nimenunua used laptop, HP Elite Book from Dubai. Baada ya kufika tu (jana), yule mtu ambae nilimtuma kuifuata akaiwasha na ikawaka lakini chaji ilikuwa down sana na hivyo akaamua kuichaji. Chaji ikawa haiingii na mwisho wa yote laptop ikazima na hivi sasa haiwaki tena.

Yafuatayo ndiyo nime-notice:
1. Ukii-plug na kuwasha (au hata usipowasha), power indicator ina-blink mara 8 na ile ya tisa inaji-off jumla
2. Ukii-switch on pasipo na betri au ikiwa na betri lakini bila kuwa plugged, orange light ina-blink mara 8 kisha inapotea!

ALL in all, haiwaki kabisa.

Ingawaje mimi sio mtalaamu lakini nadhani tatizo sio motherboard kwa sababu, kama nilivyosema hapo kabla, laptop iliwaka na baadae kuzima kwa kukosa chaji.

Amabcho ningependa kufahamu ni:

1. Je, tatizo inaweza kuwa ni system charge au inaweza pia kuwa motherboard ingawaje hadi laptop inazima, ilikuwa poa tu.

2. Kama tatizo ni mfumo wa chaji, gharama za kurekebisha inakuwa vipi! Hapa ningependa kufahamu hili suala manake nina option ya kuisafirisha back to Dubai.

Hapa chini ni betri yake ambayo ina ukubwa wa tablet

Betri.png

Mkuu Tatizo Dogo Hilo Nenda kwa Fundi acheki internal Battery!
 
Internal battery ndo ipi mkuu wangu? Ina maana ni tofauti na hizi ambazo huwa tunaweza kuzitoa na kuzirudishia kama inavyoonesha hiyo picha hapo juu, au kuna built-in battery tofauti na hizi za kawaida?!
 
Waungwana wa tech salaam!

Nina tatizo. Nimenunua used laptop, HP Elite Book from Dubai. Baada ya kufika tu (jana), nikaamua kuiwasha! HAIKUWAKA! Nikajaribu troubleshooting hii na ile hususani ile maarufu ya kutoa betri na charger kisha ku-hold swith on button kwa takribani sekunde 20+, lakini nayo haikusaidia, iwe pasipo na betri au kujaribu kukiwa na betri!

Yafuatayo ndiyo nime-notice:
1. Ukii-plug na kuwasha au usipowasha; power indicator ina-blink mara 8 na ile ya tisa inaji-off jumla
2. Ukii-switch on pasipo na betri au ikiwa na betri lakini bila kuwa plugged, orange light ina-blink mara moja au mbili kisha inapotea!

ALL in all, haiwaki kabisa.

Hapa chini ni betri yake ambayo ina ukubwa wa tablet

Naomba msaada wa nini naweza kufanya kabla ya kufikia option ya kwenda kwa mafundi ambao mara 2 wameni-disappoint hapo awali.
Ukikosa option niuzie sababu umesema hufikilii mafundi
 
Laptop Ina tatizo la charging system kuna njia hazipeleki umeme kwenye mother board!!!
 
Waungwana wa tech salaam!

Nina tatizo. Nimenunua used laptop, HP Elite Book from Dubai. Baada ya kufika tu (jana), yule mtu ambae nilimtuma kuifuata akaiwasha na ikawaka lakini chaji ilikuwa down sana na hivyo akaamua kuichaji. Chaji ikawa haiingii na mwisho wa yote laptop ikazima na hivi sasa haiwaki tena.

Yafuatayo ndiyo nime-notice:
1. Ukii-plug na kuwasha (au hata usipowasha), power indicator ina-blink mara 8 na ile ya tisa inaji-off jumla
2. Ukii-switch on pasipo na betri au ikiwa na betri lakini bila kuwa plugged, orange light ina-blink mara 8 kisha inapotea!

ALL in all, haiwaki kabisa.

Ingawaje mimi sio mtalaamu lakini nadhani tatizo sio motherboard kwa sababu, kama nilivyosema hapo kabla, laptop iliwaka na baadae kuzima kwa kukosa chaji.

Amabcho ningependa kufahamu ni:

1. Je, tatizo inaweza kuwa ni system charge au inaweza pia kuwa motherboard ingawaje hadi laptop inazima, ilikuwa poa tu.

2. Kama tatizo ni mfumo wa chaji, gharama za kurekebisha inakuwa vipi! Hapa ningependa kufahamu hili suala manake nina option ya kuisafirisha back to Dubai.

Hapa chini ni betri yake ambayo ina ukubwa wa tablet

Iyo laptop ilikuja na charge yake au iyo charger uliinunua pengine?..
Maana ina weza ikawa iyo charger haina uwezo wa kuichaji iyo pc
1 Angalia kipandiko chini ya pc uone kinakupa maelezo gani kuhusiana na INPUT charger
2 Angalia je charger yako ina sifa inazoitajika? Kama input ya pc 19v na charger yako output ni 15v pc haitawaka
 
Ahsante kwa ushauri! Ilikuja na charger yake lakini hata hivyo, nikifika home nitaenda kuchunguza hizo input vs charger capacity!
 
tatizo dogo sana ...kama upo dar es salaam niandalie 30 nije nilimalize popote ulipo
 
Mkuu sikutaka ku-take risk ya kuifungua wakati sina uhakika kama tatizo ni charging system! Kwa hofu kwamba labda inaweza pia kuwa ni motherboard, nimeamua kuirudisha nilikoitoa ikiwa haijagusa screwdriver!
 
Back
Top Bottom