Je, PC ikiharibika mfumo wa power supply inaweza kupona?

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,776
24,211
Habariiiiiii wakuu,

Nilileta swali hapa jf kisima cha maarifa Kuhusu tatizo la PC yangu kuzima ghafla na (kuwasha taa then kuzima bila kuwasha screen) nime note vitu vifuatavyo::

Baada ya kuiacha kwa wiki 2 bila kuiwasha Jana niliweka betri nikijaribu kuiwasha cha ajabu iliwaka fresh.....na niliitumia kwa muda wa nusu saa

Lkn baada ya betri kuisha chaji nikaona niichomeke kwenye chaji ghafla ikazima mazima (na ile sehemu karibu na betri inatoa harufu)

Imerudi Kama zamani ambapo nikiiwasha inawaka tu zile taa za kijani + nyekundu then inazima, bila kuwasha screen. Mimi nime notice kuwa labda huenda power supply imedead

Wakuu, je tatizo linaweza kuwa nini na kwa hali hii pc yangu inaweza kupona coz imebeba vitu vya muhimu Sana?

Chief-Mkwawa
 
Habariiiiiii wakuu
Nilileta swali hapa jf kisima cha maarifa Kuhusu tatizo la PC yangu kuzima ghafla na (kuwasha taa then kuzima bila kuwasha screen) nime note vitu vifuatavyo::

Baada ya kuiacha kwa wiki 2 bila kuiwasha Jana niliweka betri nikijaribu kuisha cha ajabu iliwaka fresh.....na niliitumia kwa muda wa nusu saa

Lkn baada ya betri kuisha chaji nikaona niichomeke kwenye chaji ghafla ikazima mazima ( na ile sehemu karibu na betri inatoa harufu)
Imerudi Kama zamani ambapo nikiiwasha inawaka tu zile taa za kijani + nyekundu then inazima ...bila kuwasha screen.......Mimi nime notice kuwa labda huenda power supply imedead

Wakuu je! tatizo linaweza kuwa nini.....na kwa hali hii pc yangu inaweza kupona coz imebeba vitu vya muhimu Sana????

Chief-Mkwawa
Ndiyo inafaa
 
PC yenyew Ni hii hapa wakuu

Pia bei yake inaweza kuwa tsh?? Kama tatizo ni power supply
JamiiForums275139254_216x492.jpg
 
Hata mimi yangu nikichomeka kwenye umeme inawaka halafu inazima taa za power na chaji zina kapua kapua kisha inazima....nikikata kwa muda nikaiwasha inawaka unatumia kidogo inazima....tatizo nahisi ni adopter ya power au nimekosea
 
Mkuu vitu vya muhimu unaweza tu toa HDD.

Power supply ya pc ni adapter, kama inatoa harufu pengine adapter ni mbovu, kama una mtu unamfahamu mnshea adapter jaribu kuazima ya kwake.
Ahaaa sawa mkuu.......

Lkn mbna hata nikichomeka betri .lenye charge...bila kuweka kwenye chaji.....bado inazingua
 
Hata mimi yangu nikichomeka kwenye umeme inawaka halafu inazima taa za power na chaji zina kapua kapua kisha inazima....nikikata kwa muda nikaiwasha inawaka unatumia kidogo inazima....tatizo nahisi ni adopter ya power au nimekosea
Yaah inaweza kuwa ni adapta kama alivyosema hapo juu....jaribu kushare
 
Hapo kuna mawili kupona ama kufa kabisa lakini tatuzo uwezekano wa kipona ni mkubwa kama itakuwa imeungua transfoma utaweka ingine itapiga kazi kama saketi yake itakuwa haijaathirika
 
Hapo kuna mawili kupona ama kufa kabisa lakini tatuzo uwezekano wa kipona ni mkubwa kama itakuwa imeungua transfoma utaweka ingine itapiga kazi kama saketi yake itakuwa haijaathirika
Daaah basi kisanga ....ngoja nijongee kwa mr fundi
 
Back
Top Bottom