Je, PC ikiharibika mfumo wa power supply inaweza kupona?

Ila hapo juu umeandika ulitumia fresh ikiwa na battery.
Yaaah mkuu.....nlitumia vizur ikiwa na betri.....ila baada ya betri kutoa notification ya low battery (kabla haijazima) nikaiweka charge

Baada tu ya kuchomeka ikazima .....hadi sasa ukiiwasha hata kwa battery tu kinawaka tu kile kitaa cha power ( kijan ) .....then kina zima

Ila screen haiwaki
 
Mkuu hii shida yako uliimalizaje?
Maana mimi pia niko na pc kama hiyo na shida kama hiyo
Shukran
Kuna sakiti 3 ziliungua kwenye madhine

Inayopokea moto kutoka kwenye adoptor
Then inayosambaza kwenda sehemu zote za PC

Na yakuchaji betri

Kilichosababisha nilikuwa naona kazi kuzima PC so nilikuwa nachomoa betri la PC then naweka tena so PC inazima

Kumbe unavochomoa betri Umeme unabaki kidgo so unavyochomeka Tena muda huo unasababisha spark shot kwenye mfumo

Pia cable ya adopter ilikuwa inasababisha sparks
 
Ps ni analogy hivyo ni maintainable compared to digital. Hizo zinakufa feni, transistor, capac6otor, transformer. Fundi yoyote wa electronics anakarabati
 
Back
Top Bottom