To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,598
- 39,161
- Thread starter
- #61
Asante sana kaka...Mungu akubarikiJaman mm natamani mtoto sana wengine wanawakataa daaah....!!! cjuw hv utaanzaje kukataa damu yako ila tunatofautiana kiukwel ila nataman cn mtoto, cha msingi mlee tu hyo mtoto usimfiche chochote kile yy mwenyewe hatajuwa ni kwnn miaka yte nimekaa na mama baba alikuwa wap na pia ucje pandikiza chuki yyte kwa mtoto nakuomba ucje ukafanya hvyo hakifikia hatua yakumtambua baba yake mwambie ukwel hakitaka kujuwa zaidi ndio umweleza vizur tukio zima ila akitaka kujuwa ni kwnn umemlea ww mwenyewe pole lakn