Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,674
- 8,313
Mkuu...
Kuna jamaa alimfanyia binti mmoja hivyo hivyo mtaa niliokulia, sasa jamaa akaja akaoa, baada ya miaka 13 akagundua kuwa hawezi kumpa mwanamke mimba.
Alirudia historia yake, akakumbuka kuwa amewahi kumpa ujauzito binti fulani, akaanza fuatilia mpaka akampata mwanaye na akaanza muhudumia right away.
Ila alimkumbuka baada ya kufikwa na majanga, huyo wako pengine asije mkumbuka at all.