Eistein alizaa na cousin wake bwana weweKwahiyo wewe una akili kumshinda sir isaq Newton . Albert ainstein . Friedrich Nietzsche Nicola tesla . !!?? Maana hao wote hawajawahi kuwa na watoto tena kama huyo Nietzsche aliwahi kusema kwamba watoto ni mizigo ya kujitakia
But ukweli ni kwamba kwa mujibu wako asiyetaka kuwa na mtoto wakati hana tatizo la kiafya huyo atakuwa hana akili na watu hao niliowataja hapo juu wote wana tambulika kuwa walikuwa magenius wakubwa walioweza kuleta michango iliyoweza kuibadilisha dunia na walimwengu wote tumenufaika na tuna endelea kunufaika kupitia michango yao ""
Swali langu kwako je ? Hao hawana akili !!? Maana wote hao hawajawahi kuwa na watoto na je kwakuwa wewe una mtoto au watoto Bila shaka utakuwa na akili nyingi kuliko hao magenius niliowataja ??