Je, ni wangapi wasiotamani kupata watoto?

Je, ni wangapi wasiotamani kupata watoto?

na kinachotupa kiburi ni raha ya tendo la kumtafuta mtoto!

imagine kama tungekua na uzao kama wa kinyonga ukizaa tu ndo kifo chako hapo hapo je kuna mtu angekubali azae mtoto abaki yeye afe ?

au uchungu wa mwanamke kujifungua ndo ungekua wakati wa tendo la kujamiiana kumtafta mtoto ,
kuna mtu angehangaika na sex?

kwanza tungekua hatuna watoto/mimba za mitaani

raha ya tendo ndo sababu ya watu kuzaa ovyo hakuna kingine hakuna anependa mtoto ila tuna penda ngono tu
 
Nilishamuomba mtu anizalie nikitaka mtoto mwingine atanizalia pia.
Hitimisho kwako wewe ni kuwa unapenda kuwa na watoto ila hupendi kuzaa. Kwa maana ya kuwa utakubaliana na mimi ya kuwa hakuna mwanamke timamu asiyependa watoto au kuwa na watoto.

Sasa, swali langu ni je unahisi hao wasio penda kuwa na watoto ni kipi hasa kinawafanya wasipende kuwa na watoto ?
 
Mimi kupenda watoto hakumaanishi ndio wanawake wote wanapenda watoto, halafu pia ujue sio tu wanawake wasiopenda hata wanaume wapo wasiopenda watoto,

Hatuwezi kufanana mawazo, nawajua watu wasiopenda watoto na wanafurahia maisha yao.
 
Ungekuwa unanifahamu usingethubutu kuandika ulichoandika.
Dunia ina watu wengi kushinda idadi inayoweza kuhimili. Tukiendekeza kuzaliana hovyo tutapata majanga makubwa mno.
Jaribu kusoma nyaraka zilizochapishwa karne hii.
Biblia unayonukuu si kila mtu anaifuata kati ya binadamu billioni 7 duniani.
Akili za kukariri tu.

Nimekuuliza Dunia Ipi hiyo? Pengine huna elimu ya Geographia na mbaya zaidi umeishia hapo Tanzania.

Tena bora hapo Tanzania ungetembea ungejua Dunia bado sana kujaa. Kamwe Dunia haitajaa.

Wewe unasoma Nyaraka wenzako tunatembea tunaona kwa macho. Dunia sio kijiji cha tukuyu Mkuu.

Family planning ipo kimkakati, imelenha biashara. Haina mahusiano na kujaza Dunia.
 
Mimi kupenda watoto hakumaanishi ndio wanawake wote wanapenda watoto, halafu pia ujue sio tu wanawake wasiopenda hata wanaume wapo wasiopenda watoto,

Hatuwezi kufanana mawazo, nawajua watu wasiopenda watoto na wanafurahia maisha yao.
Kwanini hawapendi kuzaa ?
 
na kinachotupa kiburi ni raha ya tendo la kumtafuta mtoto!

imagine kama tungekua na uzao kama wa kinyonga ukizaa tu ndo kifo chako hapo hapo je kuna mtu angekubali azae mtoto abaki yeye afe ?

au uchungu wa mwanamke kujifungua ndo ungekua wakati wa tendo la kujamiiana kumtafta mtoto ,
kuna mtu angehangaika na sex?

kwanza tungekua hatuna watoto/mimba za mitaani

raha ya tendo ndo sababu ya watu kuzaa ovyo hakuna kingine hakuna anependa mtoto ila tuna penda ngono tu
Hahahaha nadhani thread ingefungwa tu maana umemaliza kila kitu.
 
HAWAPENDI KUA NA WATOTO,
Jombaa mbona mgumu kuelewa?
Naona unazidi kuongeza tatizo hujajibu swali. Unapo ulizwa swali jibu swali.

Hivi nikikuuliza kwanini upo jf muda huu, ukajibu "Kwa sababu nipo" hili ni jibu au ishara ya tatizo na kujibu usicho kijua au kielewa ?
 
Hahaaa halafu sasa wasichojua ni kwamba jamii ya waafrica ina watoto wengi wanaopitia dhiki mpaka watoto hao huwa wanalaani wazazi wao kwanini waliwazaa . ..

Kuzaa zaa tu wakati hauna uwezo wa kukisimamia kizazi chako ili kiweze kupata mahitaji stahiki. . ni Uchizi
Kweli kabisa mkuu, yaani unakuta mtoto anateseka kupata mahitaji muhimu hadi anajutia kuzaliwa duniani. Hapo hapo unakuta mzazi nae kila siku kuomba omba msaada wa kutunza familia kila siku, heri tu kutozaa kuliko haya mateso
 
Naona unazidi kuongeza tatizo hujajibu swali. Unapo ulizwa swali jibu swali.

Hivi nikikuuliza kwanini upo jf muda huu, ukajibu "Kwa sababu nipo" hili ni jibu au ishara ya tatizo na kujibu usicho kijua au kielewa ?
Mbona kama umepanic? Lol,
Ulitaka jibu gani sasa, umeuliza umejibiwa au una majibu yako kichwani?
[emoji854][emoji854]
 
mtoto wa kazi gani wa nini?
Kwanini unauliza swali la uongo ?
kuna kitu cha ziada anapata mtu mwenye mtoto amabacho hapati asiekua nacho?
Anafanana yule aliyepanda na akavuna na yule wa kinyume chake ?

Mpaka najiukiza inakuwaje unauliza maswali ya kijinga namna hii, yaani hata kuona utofauti mtu unashindwa, kisha unakuja hoji kadhia hii ?
 
Nani aliyekuambia dunia inatakiwa ikaliwe na watu hadi ijae yote? Wewe kama ni msomi ilitakiwa ujue kuwa sehemu nyingine duniani zinatakiwa zibaki zikiwa na maliasili kwa ajili ya mzunguko wa hewa ya oskijeni!

Binadamu hana uwezo wa kuijaza Dunia hata angezaliana vipi. Nafasi ya viumbe vingine itakuwepo. Kusema watu wasizaliane ni hila, njama na mpango wa watu wachache. Dunia haijaanza Leo wala Jana. Imepitia vipindi mbalimbali. Dunia inahitaji ongezeko kubwa la watu ili iwe stable. Tunatoka Ardhini na kamwe hatuwezi kuwa wengi kuizidi ardhi.
Ni mtume wa nani wa kwako au

Huna ujuacho kwa habari hizo
Huyo Paulo wanaume lazima mumchukie kwa sababu ndiye aliyesema mwanaume awe na mke mmoja! Ila watu kama kina Suleiman kwenu ndiyo malijendi kama malijendi!

Hatumchukii kwa maana yeye aliandika mambo yaliyopatana na akili yake akaacha yaliyoagizwa na Mungu. Imagine MTU anakuambia ikiwezekana usioe, Mara Mke mmoja. wakati yeye hakushushiwa torati. Angalau alijipambanua kuwa anaongea kwa jinsi ya kibinadamu Mara atoapo mashudu ya dizaini hiyo.
Basi zaa kwa niaba yao wote ambao hawajazaa! Mambo yasiwe mengi!

Njoo nikuzalishe,
Teh unajitoa ufahamu eenh? We si tunakujua huchelewi sie tulikuwa tunatahadharishana tu kuwa muda wowote unaweza ukabadili gia angani ndege ikajikuta imetoka nje ya radar imeenda kusikojulikana!

Kuhusu bikra msimamo ni ule ule. Bila bikra mwanamke akiolewa ni Malaya tuu, isipokuwa aliyefiwa na mume au kubakwa.
Haujajibu swali! Mitume na manabii ambao hawakuzaa nao hawakuwa na maana au unamaanisha mtu awe na maana mbele za nani?

Maana yao katika uumbaji hawana. Sisi ni mfano wa Mungu. Sifa moja wapo ya Mungu ni kuumba, sisi tunshiriki katika uumbaji kwa njia ya kuzaa. Sasa mtu asiyezaa anafaida gani ikiwa alipata muda wa kutosha kufanya hivyo.
 
Mbona kama umepanic? Lol,
Ulitaka jibu gani sasa, umeuliza umejibiwa au una majibu yako kichwani?
[emoji854][emoji854]
Siwezi kupanic juu ya jambo ambalo liko wazi tena dhidi ya mtu asiye na hoja juu ya hoja hii au jambo hili.

Nilitaka ujibu swali nililo kuuliza na ujibu kwa usahihi.

Nimekuuliza swali kwanini hawapendi,unajibu tena kwa sababu hawapendi. Hili siyo jibu,kadhalika nimekupa mfano mwepesi upate kuelewa nikaona unaongeza tatizo na kurudi kule kule.

Ahsante.
 
Kuna uzi niliuweka humu juu ya jambo linalofanana na hili, unaweza kuangalia posts zangu ukaona na michango ya watu,

Kwa ufupi ni kua, wote wana sababu tofauti tofauti,
Mwingine hapendi kelele za watoto,
Mwingine anaogopa kubeba mimba,
Mwingine anaogopa uchungu wa kuzaa,
Mwingine anaogopa majukumu,
Mwingine, Mwingine, Mwingine.
 
Maana yao katika uumbaji hawana. Sisi ni mfano wa Mungu. Sifa moja wapo ya Mungu ni kuumba, sisi tunshiriki katika uumbaji kwa njia ya kuzaa. Sasa mtu asiyezaa anafaida gani ikiwa alipata muda wa kutosha kufanya hivyo.
Hivi mtu akifa akaenda mbinguni kuna kingine kinachomatter tena hapo! Sote tunaishi ili tukifa tuende mbinguni!

Haya mambo ya maana sijui akili hayahusu huko mbinguni! Cha msingi ni kuenda mbinguni hivyo ilimradi hao mitume na manabii walikufa wakaenda mbinguni hayo ya kutokushiriki katika uumbaji hayahusu!
 
Back
Top Bottom