share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,062
- 10,461
Wadau, malalamiko ni mengi kila kona ya nchi. Hii pia imechagizwa na bwana Doto James, mpwa wa Mhe. Rais kuwa paymaster general wa serikali (Katibu Mkuu Wizara ya Fedha). Hata kama ingekuwa anastahili kitaaluma na uzoefu (japo kuna mashaka) lakini kimaadili hili limekaaje?