Je, ni sahihi mpwa kuwa paymaster general wa Serikali?

share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
6,062
10,461
Wadau, malalamiko ni mengi kila kona ya nchi. Hii pia imechagizwa na bwana Doto James, mpwa wa Mhe. Rais kuwa paymaster general wa serikali (Katibu Mkuu Wizara ya Fedha). Hata kama ingekuwa anastahili kitaaluma na uzoefu (japo kuna mashaka) lakini kimaadili hili limekaaje?
 
Hazina ya nchi siyo kitu cha kuvhezea inatakiwa kuongozwa na mtu mzoefu na asiyeyumbishwa na wanasiasa. Uchumi wa nchi utakapo kufa ndiyo mtajiandaa kuilinda hazina kama mboni ya jicho. Upwa siyo tatizo hata kidogo tatizo ni linakuja hivi je ana uzoefu wa kutosha?
 
Wadau, malalamiko ni mengi kila kona ya nchi. Hii pia imechagizwa na bwana Doto James, mpwa wa Mhe. Rais kuwa paymaster general wa serikali (Katibu Mkuu Wizara ya Fedha). Hata kama ingekuwa anastahili kitaaluma na uzoefu (japo kuna mashaka) lakini kimaadili hili limekaaje?

Una uhakika ni mpwa wake, au na wewe umekariri propaganda?
 
Wadau, malalamiko ni mengi kila kona ya nchi. Hii pia imechagizwa na bwana Doto James, mpwa wa Mhe. Rais kuwa paymaster general wa serikali (Katibu Mkuu Wizara ya Fedha). Hata kama ingekuwa anastahili kitaaluma na uzoefu (japo kuna mashaka) lakini kimaadili hili limekaaje?
Kwa ujumla siyo sahihi

Kwa staili ya uendeshaji wa nchi wa huyu Bwana, ni kuamrisha tu zitoke pesa hazina...

Huwezi ukastajabu kusikia CAG amefilichua "upotevu" wa pesa za 1.5 trillion shillings!

Matokeo yake ndiyo hayo ya kuweka mtoto wa Dada kwenye Hazina ya Taifa.......
 
Sio sahihi familia moja kukaa kwenye nafasi za kula Kodi ya nchi kwa kiwango cha mishahara ya juu kabisa.

Utajiri wa nchi unahamia kwenye familia moja.
Huo ni ufisadi mbaya kuliko ule wa kupiga dili za kushirikisha watu wa maeneo tofauti. Hata mshiko ukitoka unakua umewagusa watanzania wengi.

Ndio maana enzi za wamu Fulani kule Kongo Watu wa familia mbali mbali waliibuka hata kama hawakua na ukoo na Mkwere.
Waliibuka mpaka akina Loo goomy ambao hawakua na hata ukoo na mkuu wa enzi hizo na wala hawakua wasomi ila ni kwa sababu suala la fedha lilishirikisha jamii pana.
Sasa pato la nchi kukaa mfukoni kwa mtu na familia yake ni jambo la kifisadi kwa nchi za kule Bangladeshi na Mongolia.

Sijui nani aliyeamua kuwa ile nchi kubwa kama Ujeruman iwe ni Mali ya familia na marafiki huku wengine wote kuonekana kama wezi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kuna watu wataumia sana. Mbaya zaidi watakapoanza kushughulikiwa itaonekana kama watu wa kanda ya ziwa hasahasa wasukuma wanaonewa na Serikali: Ila sijui kwanini watu huwa hawaangaliagi mbali.
Hahah mkuu imebidi nicheke hapo uliposema 'itaonekana kama watu wa kanda ya ziwa hasahasa wasukuma wanaonewa',maana huo ndio ukweli halisi muda wao ukifika hali itakua ni tete.

Labda watajitahidi kuacha mrithi ambae watamchagua wao ili awalinde ingawa kiukweli CCM na madhaifu yao yote inapokuja suala la M/kiti kuwachagulia mgombea wa urais hua inakua ni ngumu si ajabu mzee mwenyewe akashindwa kuacha anayemtaka na ndipo hapo 'wakina Dotto' wataelewa somo vzr.
 
Back
Top Bottom