Je, ni nini lengo la ziara ya Ghafla ya Paul Kagame hapa Tanzania 27-04-2023?

Mnapenda kumkuza na hizo consipiracy theories zenu. Kama kiongozi yoyote anatafuta fursa kwa ajili ya maendeleo ya taifa lake. Ana matatizo yake kama walivyo viongozi wengine wa kiafrika.

Mtu yupo bongo hajawahi hata kufika Rwanda au kuwa na jamaa wenye asili yao anakuja kutapika uharo hapa.

Wanyarwanda wanaishi vizuri na kwa amani, PK amezima upuuzi wa ukabila. Lile taifa lazima liende kwa mkono wa chuma bila hivyo migogoro itakua kama Burundi. Kama ni makosa anayo kama viongozi wengine wa kiafrika.
Wewe ni Mtusi usiwasemee Wahutu, hilo ni suala la muda tu. Wala usidanganye watu kuwa wanaishi vizuri kwa amani. Wangekuwa wanaishi kwa amani angemteka yule Star wa Hotel Rwanda na kuja kumuwekea kangaroo Court kumfunga? Ogopa watu wanaoumia kimya kimya, wakilipuka itakuwa mbaya kuliko hata Sudan
 
Sina utusi wowote ndugu.
Tatizo letu wabongo mtu akiongea tofauti basi anakua labelled.
Hivi unajua PK amekua akiwa target watu wangapi wahutu kwa tutsi na wengine hata watu wake wakaribu? Tunapojadili madhambi yake tusijadili kwa kunasabaisha na ukabila. PK ana matatizo kama walivyo watawala wengine wa kiafrika.
 
Wewe ni Mtusi kwa jina lako unless uniambia ni parody name. Lakini hata ukilikataa bado uandishi wako unaonyesha ni Mtusi tu.
 
Una taarifa za Ikulu kwamba hii ziara haijapangwa muda mrefu na imekua ghafla?
Unaweza kutuambia ughafla wake upoje? Aliamka asubuhi akasema kesho naja Tanzania?
Msamehe ndo vijana tulikuwa hatuwachapi utoton
 
Hayo yote sio kweli ila tu ni mawazo yako kama ulivosema,japo naona yamejaa chuki na ubinafsi na uelewa mdogo juu ya historia ya nchi ndogo ya Rwanda,huyo jamaa ameitoa nchi pabaya na bado hamuoni?yote anayofanya ni ya kawaida kwa watawala wote duniani ila anaonekana yeye kwakuwa wengi mna mawazo kuwa Ile ni nchi ndogo isiyofaa kuwa hapo ilipo,but trust me huyu jamaa mwamba Sana,mpaka mnamfanya topic,jua ni tishio,suala la ukabila halipo Tena kwa kiwango hicho amepambana kuliondoa na kuweka maridhiano kwa wanyarwanda wote,kama huna uelewa na international affairs ndo utaongea hayo,but ni kawaida,hakuna Utawala Duniani usio na makando ila kwakuwa yeye kaonekana kuwa very clever, brilliant Sana na kuimarisha nchi yake,ndo anaonekana yeye,NAMKUBALI SANA HUYO MWAMBA
Big up mkuu. Umeongea fact ila naona watu wengi wanaongelea negative tu.

Akili tu ya kawaida inakuonesha jinsi anbavyo Rwanda imepiga hatua kubwa kiuchumi na kijamii kuliki jirani zake licha ya kupitia mapito magumu.

chuki ni uchawi
 
Tumekwisha, huyu Kagame ni muuaji na dikiteita kuwahi kuwepo Africa, sasa kaja kupandikiza udikiteita. Twafa, omba tusirudi enzi za Jiwe.
Udikteta Hauambukizwii kama UKIMWI... udikteta ni mtu wa ndani kabisa.. ni nafsi!! hivyo kama mtu sio dikteta hawezi kua dikteta kwa kuambukizwa!! Relax... Chief wetu ni imara sana.
 
Udikteta Hauambukizwii kama UKIMWI... udikteta ni mtu wa ndani kabisa.. ni nafsi!! hivyo kama mtu sio dikteta hawezi kua dikteta kwa kuambukizwa!! Relax... Chief wetu ni imara sana.
Misleading can also occur! New ideas can crop up from neighbours giving you new strategies to consolidate power!
 
Mwezi huu kuna meli itaingia na mzigo wa Mahindi ya Rwanda, alikuja kuweka na kuangalia mipango ya logistics zake. Kama sikosei 2017/18 meli ya mzigo wake wa chakula ilipata short ya tani 1000+
 
Tunavyozidi kuendelea na maisha ya kila siku, hatuwezi kuacha kufikirisha bongo zetu.

Ziara ya Paul Kagame imenifanya nifikirie sana. Kwanini iwe ziara ya ghafla hivyo? Katika mawazo yangu nimewaza mambo kadha wa kadha.

1. Tayari huko Congo ya mashariki vurugu inaendelea. Na sote tunajua yule anayeleta vurugu hizo ni ndugu yetu huyu na wenzake wakisaidiwa na wafanya biashara mbalimbali wa madini duniani. Huku USA akiwa behind the scene.

Juzi juzi makamu wa rais wa Marekani alikuja hapa Tanzania. Na katika mambo mengi yaliyozungumzwa huenda na hili suala la amani katika eneo la kaskazini mwa congo. Maana Tanzania inapokea wakimbizi wengi sana na kushindwa kufanya mipango yake ya maendeleo.

2. Tayari Burundi, Uganda na DRC zimekubali kufanya biashara na Tanzania. Huku yeye akiwa na matakwa yake. Na ukiangalia mbele ya safari madini ya huko Congo na Burundi yatasafirishwa kupitia SGR ya Tanzania. Sasa hapa tunaongelea National Interest. Ukiyagusa maslah ya Tanzania maana yake umeingilia ulinzi na usalama wa Tanzania.

3. Tunapoelekea anaona kabisa anatengwa, Maana USA sasa hivi naye anapigana for her survival. Hizi operation zinazoendelea huko Ukraine zimewafumbua wengi. Kwahiyo wengi sasa wanaanzisha umoja wao na kuanza kujiweka mbali na USA. Huku wengi wakiwa karibu na China. Yeye hana mahusiano mazuri na China huku TZ tukiwa washirika wa karibu sana na China.

4. Tanzania imechaguliwa kuwa mwenyekiti wa majeshi ya Ulinzi na Usalama Duniani. Mwakani mkutano wa majeshi yote duniani utafanyika hapa Tanzania. Tanzania imekabidhiwa na Russia juzi juzi wiki hii huko Moscow. Kuwa mbali na Tanzania ni kujitenga na ulinzi wa kidunia.

5. Tanzania imeandaa mpango kabambe wa kumaliza na kutokomeza makundi yanayopigana na serikali huko DRC. Mpango wa Tanzania utaweza kumfanya yeye apotee kabisa kwenye ramani, kama alivyopotea Idd Amini Dadaa.

Karibu tuchangie. Hayo ni mawazo yangi binafsi kama raia mwema.
Mwl Julius Kambarage Nyerere ataishi milele. Alikuwa Genius
 
KUNA MENGI UMEONGEA POINTI ILA MACHACHE UMEWEKA USHABIKI WA KISIASA.HAKUNA NCHI DUNIANI ISIYOPENDA USHARIKA NA MAREKANI SABABU KIJESHI KUNA FAIDA YAKE NA MAREKANI ITABAKI SUPER POWER SIKU ZOTE WATU WAPENDE WASIPENDE UKWELI NDIO HUO NA YANAYOTOKEA UKRAINE YALIWAHI KUTOKEA AFGHANISTAN CHINI YA USSR HAKUNA JIPYA MKUU.NI KWELI CHINA NA URUSI ZINAJITAHIDI KUTAFUTA WASHIRIKA ILA KINACHOWAANGUSHA NI UCHUMI WAO USIOTABIRIKA NA SOCIAL INTEGRATION NA MIGRATION POLICY ZA NCHI ZAO.....KUHUSU KAGAME NI KWAMBA ANAMSHAWISHI MAMA SAMIA ASIKUBALI USHAWISHI WA MUSEVENI ILI MABAKI YA (FAR) WAWEKE KAMBI ZAO TANZANIA NA UGANDA HAKUNA JIPYA MKUU.
Yeye pk kajuaje kuwa Mseveni anamshawishi Mama asiwape kambi FAR. Ila akumbuke naye alipopitia ndio na wenzake wanafanya hivyoivo. Kuanzia Tanzania ,Uganda then FAR hawa hapo Kigali by june 2024
 
KUNA MENGI UMEONGEA POINTI ILA MACHACHE UMEWEKA USHABIKI WA KISIASA.HAKUNA NCHI DUNIANI ISIYOPENDA USHARIKA NA MAREKANI SABABU KIJESHI KUNA FAIDA YAKE NA MAREKANI ITABAKI SUPER POWER SIKU ZOTE WATU WAPENDE WASIPENDE UKWELI NDIO HUO NA YANAYOTOKEA UKRAINE YALIWAHI KUTOKEA AFGHANISTAN CHINI YA USSR HAKUNA JIPYA MKUU.NI KWELI CHINA NA URUSI ZINAJITAHIDI KUTAFUTA WASHIRIKA ILA KINACHOWAANGUSHA NI UCHUMI WAO USIOTABIRIKA NA SOCIAL INTEGRATION NA MIGRATION POLICY ZA NCHI ZAO.....KUHUSU KAGAME NI KWAMBA ANAMSHAWISHI MAMA SAMIA ASIKUBALI USHAWISHI WA MUSEVENI ILI MABAKI YA (FAR) WAWEKE KAMBI ZAO TANZANIA NA UGANDA HAKUNA JIPYA MKUU.
Mjomba wako kipigo kinakaribia
 
Mnapenda kumkuza na hizo consipiracy theories zenu. Kama kiongozi yoyote anatafuta fursa kwa ajili ya maendeleo ya taifa lake. Ana matatizo yake kama walivyo viongozi wengine wa kiafrika.

Mtu yupo bongo hajawahi hata kufika Rwanda au kuwa na jamaa wenye asili yao anakuja kutapika uharo hapa.

Wanyarwanda wanaishi vizuri na kwa amani, PK amezima upuuzi wa ukabila. Lile taifa lazima liende kwa mkono wa chuma bila hivyo migogoro itakua kama Burundi. Kama ni makosa anayo kama viongozi wengine wa kiafrika.
BURUNDI hiyo ni sehemu ya Bongo hivyo tuaachieni wenyewe. Tukishindwa Dar tunahamia BUJUMBUX
 
Back
Top Bottom