Paul Kagame kuanza ziara ya siku 2 Nchini Tanzania

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,293
217,281
Taarifa zilizotolewa kwa waandishi wa Habari Mjini Dar es salaam , zinaeleza kwamba Rais wa Rwanda , Paul Kagame atatua nchini Tanzania Kesho kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku 2 .

Ambako atapokelewa na Mwenyeji wake Samia Suluhu Hassan , ambaye ni Rais wa Tanzania .

Toa Maoni yako
 
Taarifa zilizotolewa kwa waandishi wa Habari Mjini Dar es salaam , zinaeleza kwamba Rais wa Rwanda , Paul Kagame atatua nchini Tanzania Kesho kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku 2 .

Ambako atapokelewa na Mwenyeji wake Samia Suluhu Hassan , ambaye ni Rais wa Tanzania .

Toa Maoni yako

Kila kitu sio cha kutolea maoni
 
Jamaa haaminikigi kiivyo,skuwahi kuhisi watz tutajifunza Rwanda kweli ukubwa wa pia....
 
Rais wetu mh Dr mama Samia suluhu Hassani ameijengea heshima kubwa Sana Tanzania,Ameiheshimisha na kuifanya kila kiongozi au mfanyabiashara au muwekezaji kutamani na kuwa na kiu ya kuitembelea Tanzania,ndio maana unaona hata makamu wa Rais wa marekani ilimlazimu Aitemelee Tanzania maana kwa Sasa Tanzania haiepukiki Wala kukwepeka,ni Kama maji tu Usipoyanywa utayaoga Tuuuuuuuuuuu.

Tanzania chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa shujaa wetu na Jasiri muongoza njia mh mama Samia inaaminika Sana katika macho na mioyo ya viongozi mbalimbali, Ni nchi ya mfano kwa Sasa Barani Afrika,Ni nchi kiongozi katika masuala ya utawala Bora, demokrasia imara,utawala wa Sheria,Uhuru wa vyombo vya habari n.k.

Kasi ya ukuaji wa uchumi wetu umezifanya nchi majirani kuiangalia Tanzania kwa jicho la kipekee na kila nchi kuihitaji Sana Tanzania katika masuala ya kiuchumi na kibiashara, Tanzania ndio marekani ya Afrika ambapo kila kiongozi anatamani kufika ,ndio Dubai ya Afrika na ndio ujerumani ya Afrika katika kasi ya ukuaji wa uchumi.

Kwa hakika Rais Samia Ni bingwa wa Diplomasia,nguli wa uchumi, Nyota ya Afrika na Tumaini la wanyonge,
 
Back
Top Bottom