Je ni lini kyela tutapata umeme angalau masaa mawili tuu kwa siku mchana ?

Shida ya Umeme Kyela , sakata la Mango Tree , soko la Cocoa , shida ya maji na Aibu ya Kipindupindu , ndiyo vimenifanya mimi nirudi nyumbani kuchukua Ubunge 2025 siyo kugombea , ni kuchukua , Kwa sababu hakuna mwanaccm wa kunishinda , Akajapo najumo naloli kangi , Mwakyembe ikundila fijo ulwa Kindingo .

Huyu mbunge wa sasa Mlagila Jumbe haniwezi hata kwa nini .

Nisile ne mwanenu bha tata , ndaga muhangajike na abhalumyana abha matingo abho bha Jumbe , ndaga fijo bha jubha mutukunyike na misi , ulu DANIDA akajapo po mukunwa Kibira na Mbaka na Songwe , nisile lelo ne mwanenu uju mwaliswilile jujumwe
Mwakalinga sijui kama anawazo la ubunge yule ni mstaarabu sana
 
Hali hiyo nimeiona wilaya ya Kaliua mkoani Tabora. Aisee kule Tanesco nadhani wanajua kukata umeme tu.
 
Ileje
Ileje
Ileje
Hii wilaya ina matatizo karibia kila idara.
Umeme kukatika kwa Ileje ni kila siku.
Maji kwenye mabomba ni machafu Na ni matope kabisa.

Huduma katika ofisi za serikali ni mbovu sana.
Ileje
Ileje ni sheeeeedaaaaaa.
 
Back
Top Bottom