Siku mbili hakuna Umeme, hata mgao sasa hakuna

Nchi inajadili vazi la taifa!!!, me huwa najiuliza kama huduma tunazolipia ndio tunazipata kwa kusua sua namna hii sipati picha hizi huduma kama tungekuwa tunapewa bure
 
Tumekaa giza siku mbili, hatujaona mwanga wa umeme, mchana ni giza , usiku ni giza.

Inasikitisha sana na TANESCO na mbaya zaidi haijulikani umeme utarudi lini
Wao wanadhani wanamkomoa rais kumbe ndo wanasaidia eviction ya chama mazimaaa

Ni waongo waongo mpaka aibu.
 
Tumekaa giza siku mbili, hatujaona mwanga wa umeme, mchana ni giza , usiku ni giza.

Inasikitisha sana na TANESCO na mbaya zaidi haijulikani umeme utarudi lini

Hongereni kwa kuichagua CCM na bado mtaipa kura CCM
 
Tumekaa giza siku mbili, hatujaona mwanga wa umeme, mchana ni giza , usiku ni giza.

Inasikitisha sana na TANESCO na mbaya zaidi haijulikani umeme utarudi lini
ni giza totoro ni ishara ya mwanzo wa mapambazuko ya uhakika...

TANESCO angaza maisha ya watanzania wote kwa uhakika...

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Mmeipenda wenyewe chaguo lenu wenyewe
Endeleeni kuisoma namba

Hivi ni muwekezaji gani anaweza kuja kuwekeza kwenye nchi kama hii.
 
Back
Top Bottom