Jibu hili hapa la kwanini tuna umeme wa mgao

mabasso

JF-Expert Member
Oct 16, 2022
1,008
1,827
Sikiliza hii video kuanzia dakika ya kwanza na sekunde 20 utapata jibu.


View: https://youtu.be/3-61pUhI2Yc?si=JmV_EPW8fu0Wu9hS
Lakini kwani watu wakitesema faida inakuwa ni nini hivi kukata umeme mfano kata ya kawe tu ni hasara kiasi gani inapatikana kwa siku?

Je, wanapokata umeme huwa wanapata faida sawa au zaidi ya hiyo hasara inayopatikana?

Kwanini wasiache umeme masaa 24 na hiyo faida wakaitumia kwenye mambo yao.
 
Back
Top Bottom