Je, Ni Lazima Utumie SPSS Katika Kila Aina ya research unayoifanya?

FestoKaguo

Senior Member
Joined
Apr 1, 2022
Posts
128
Reaction score
202
Habari yako mwana JF, natumai umzima. Siku ya leo nimekuandalia thread nyingine inayohusu mambo ya research na leo tutaangalia kitu kinaitwa obsession ambayo imefocus na matumizi ya SPSS kuhusu kuanalyse data Je ni lazima utumie SPSS kwenye kila aina ya research unayoifanya? Twende pamoja....!!!!🤗🤗😊

Katika mazingira yetu ya elimu ya juu, wanafunzi huamini kuwa SPSS ni "lazima kutumika kuanalyse data" kwa kila research na imani hii imejengeka kutokana na miongozo isiyoeleweka vyema au presha kutoka kwa wasimamizi au ma supervisor wa wanafunzi. Lakini swali la msingi ninaloweza kuliuliza kwa upande wangu mimi ni : Je, aina ya research unayofanya wewe researcher kweli inahitaji utumie SPSS? Stay with me...!!!

Tukianzia chini kabisa inabidi tujue SPSS ni nini, na huwa inatumika Katika Muktadha Gani

SPSS yenyewe ni software inayotumika kufanya data analysis. Na mara nyingi SPSS huwa inatumika sana kwenye hizi research za kijamii, biashara, na afya au tuseme social science in general ambapo analysis zake huwa ni za kutumia namba sana sana maarufu kama numeric data
Hivyo SPSS huwa na uwezi wa kuanalyse
1. Descriptive statistics kama mean, median, na mode
2. Inferential tests mambo ya regression, chi-square na t-tests
3. Reliability analysis hapa tunazungumzia mambo ya Cronbach’s alpha ( tutazungumzia hii kwenye thread nyingine ni kitu gani) au unaweza kusoma zaidi kuhusu haya mambo hapa What is SPSS

Kitu kingine watu wengi huwa wanachanganya research approaches, wanasahau kuwa kuna approach nyingine inaweza kuwa qualitative au mixed na tafiti za qualitative zenyewe huwa hazihitaji matumizi ya SPSS na hapa ndio Kila Kitu huwa kinabadilika

Research za qualitative huwa unalenga tuseme maana ya kitu, idea ya kitu pamoja na experience au uzoefu wa watu juu ya jambo fulani wakati huo tumeona tafiti za SPSS huwa zinadeal na namba sana sana hivyo qualitative huwa haideal na namba. Hivyo basi, badala ya kutumia SPSS, unatakiwa kutumia thematic analysis, content analysis, au software kama NVivo na Atlas.Ti.

Kwa mfano, research zinazotumia in-depth interviews au Focus Group Discussion ( haya huwa ni mahojiano ya moja kwa moja ambayo researcher yeye anakuwa na respondent anawahoji maswali huku anarekodi sauti badala ya kutumia questionnaire au interviews awape wajibu) hazina data za ku-run kwenye SPSS bali zinahitaji kuchambua themes au zana zinazoibuka kutoka kwa washiriki.
1744918094706.png

Pichani ni mfano wa method ya data collection inayoitwa Focus group discussion (FGD)
Ila kuna hii approach ya research inaitwa Mixed approach hii yenyewe inachanganya both questionnaires na interviews ambapo hapa SPSS huwa anatumika as long as data ulizokusanya ni numeric au zinahusu mambo ya namba namba lakini kama approach yako ni qualitative ( maelezo tu) basi SPSS huwa hatumiki kabisa.

Lakini pia nilipitia andiko aliloandika huyu jamaa anitwa Mugo ambaye aliandika research yake mwaka 2020, alielezea kuwa wanafunzi wengi wa vyuo vikuu vya Afrika Mashariki hujikuta wakilazimishwa kutumia SPSS hata katika tafiti ambazo hazina mantiki ya kutumia statistics. Hii mara nyingi hutokana na ukosefu wa mwongozo sahihi kutoka kwa walimu au kupendelea "kuonekana wa kisayansi" hata pasipo ulazima.

Hivyo kwa kuhitimisha thread yangu sasa nakuwekea kila tool inayotumika kwneye approach ambayo unayo kwenye research yako i.e kama approach yako ni Quantitative naweka tool yake, kama ni qualitative ntakuwekea pia ili usiwe umefungwa kwenye matumizi ya tool ya aina moja tu.
Kwa Quantitative approach sasa....tunatumia tools kama R, Microsoft excel na SPSS yenyewe. Ukija upande wa Qualitative analysis tunatumia sana Atlas.Ti, Thematic analysis au NVIVO, na upande wa mixed approach hapa unachanganya tools za quantitative na za qualitative.

Mwisho wa siku inabidi utambue ya kuwa kufanya research sio kuonyesha ujuzi wa wewe kutumia software, bali tu ni uwezo wa wewe kujibu maswali ya kitaaluma kwa njia sahihi. Usitumie SPSS eti kwa sababu tu kila mtu chuoni umeona anaitumia fanya hivyo kwa sababu inafaa kuanalyse data zako.

Asante kwa kusoma thread yangu mpaka mwishi kama una data unazohitaji zifanyiwe analysis au unahitaji maelekezo kwa kina kuhusu data analysis ya data zako unaweza kunicheki direclty kwa namba 0765772976 anza na neno Jamii forums nitakupokea kwa haraka na wepesi zaidi
Ciao 🥂🥂🥂
 
statistical programes/data analysis programmes ni nyingi sana....
 
SPSS siyo mwisho wa dunia kwenye statistical analysis. Ziko na aina nyingine za programs for analysis.
 
SPSS ni user friend hizo zingine haziko recommended because are not user friend.
Ni hayo Tu ila mleta thread ongera Sana kwa kuleta mada za Maana sana
 
Habari yako mwana JF, natumai umzima. Siku ya leo nimekuandalia thread nyingine inayohusu mambo ya research na leo tutaangalia kitu kinaitwa obsession ambayo imefocus na matumizi ya SPSS kuhusu kuanalyse data Je ni lazima utumie SPSS kwenye kila aina ya research unayoifanya? Twende pamoja....!!!!🤗🤗😊

Katika mazingira yetu ya elimu ya juu, wanafunzi huamini kuwa SPSS ni "lazima kutumika kuanalyse data" kwa kila research na imani hii imejengeka kutokana na miongozo isiyoeleweka vyema au presha kutoka kwa wasimamizi au ma supervisor wa wanafunzi. Lakini swali la msingi ninaloweza kuliuliza kwa upande wangu mimi ni : Je, aina ya research unayofanya wewe researcher kweli inahitaji utumie SPSS? Stay with me...!!!

Tukianzia chini kabisa inabidi tujue SPSS ni nini, na huwa inatumika Katika Muktadha Gani

SPSS yenyewe ni software inayotumika kufanya data analysis. Na mara nyingi SPSS huwa inatumika sana kwenye hizi research za kijamii, biashara, na afya au tuseme social science in general ambapo analysis zake huwa ni za kutumia namba sana sana maarufu kama numeric data
Hivyo SPSS huwa na uwezi wa kuanalyse
1. Descriptive statistics kama mean, median, na mode
2. Inferential tests mambo ya regression, chi-square na t-tests
3. Reliability analysis hapa tunazungumzia mambo ya Cronbach’s alpha ( tutazungumzia hii kwenye thread nyingine ni kitu gani) au unaweza kusoma zaidi kuhusu haya mambo hapa What is SPSS

Kitu kingine watu wengi huwa wanachanganya research approaches, wanasahau kuwa kuna approach nyingine inaweza kuwa qualitative au mixed na tafiti za qualitative zenyewe huwa hazihitaji matumizi ya SPSS na hapa ndio Kila Kitu huwa kinabadilika

Research za qualitative huwa unalenga tuseme maana ya kitu, idea ya kitu pamoja na experience au uzoefu wa watu juu ya jambo fulani wakati huo tumeona tafiti za SPSS huwa zinadeal na namba sana sana hivyo qualitative huwa haideal na namba. Hivyo basi, badala ya kutumia SPSS, unatakiwa kutumia thematic analysis, content analysis, au software kama NVivo na Atlas.Ti.

Kwa mfano, research zinazotumia in-depth interviews au Focus Group Discussion ( haya huwa ni mahojiano ya moja kwa moja ambayo researcher yeye anakuwa na respondent anawahoji maswali huku anarekodi sauti badala ya kutumia questionnaire au interviews awape wajibu) hazina data za ku-run kwenye SPSS bali zinahitaji kuchambua themes au zana zinazoibuka kutoka kwa washiriki.
View attachment 3307712
Pichani ni mfano wa method ya data collection inayoitwa Focus group discussion (FGD)
Ila kuna hii approach ya research inaitwa Mixed approach hii yenyewe inachanganya both questionnaires na interviews ambapo hapa SPSS huwa anatumika as long as data ulizokusanya ni numeric au zinahusu mambo ya namba namba lakini kama approach yako ni qualitative ( maelezo tu) basi SPSS huwa hatumiki kabisa.

Lakini pia nilipitia andiko aliloandika huyu jamaa anitwa Mugo ambaye aliandika research yake mwaka 2020, alielezea kuwa wanafunzi wengi wa vyuo vikuu vya Afrika Mashariki hujikuta wakilazimishwa kutumia SPSS hata katika tafiti ambazo hazina mantiki ya kutumia statistics. Hii mara nyingi hutokana na ukosefu wa mwongozo sahihi kutoka kwa walimu au kupendelea "kuonekana wa kisayansi" hata pasipo ulazima.

Hivyo kwa kuhitimisha thread yangu sasa nakuwekea kila tool inayotumika kwneye approach ambayo unayo kwenye research yako i.e kama approach yako ni Quantitative naweka tool yake, kama ni qualitative ntakuwekea pia ili usiwe umefungwa kwenye matumizi ya tool ya aina moja tu.
Kwa Quantitative approach sasa....tunatumia tools kama R, Microsoft excel na SPSS yenyewe. Ukija upande wa Qualitative analysis tunatumia sana Atlas.Ti, Thematic analysis au NVIVO, na upande wa mixed approach hapa unachanganya tools za quantitative na za qualitative.

Mwisho wa siku inabidi utambue ya kuwa kufanya research sio kuonyesha ujuzi wa wewe kutumia software, bali tu ni uwezo wa wewe kujibu maswali ya kitaaluma kwa njia sahihi. Usitumie SPSS eti kwa sababu tu kila mtu chuoni umeona anaitumia fanya hivyo kwa sababu inafaa kuanalyse data zako.

Asante kwa kusoma thread yangu mpaka mwishi kama una data unazohitaji zifanyiwe analysis au unahitaji maelekezo kwa kina kuhusu data analysis ya data zako unaweza kunicheki direclty kwa namba 0765772976 anza na neno Jamii forums nitakupokea kwa haraka na wepesi zaidi
Ciao 🥂🥂🥂
Mpaka leo kuna watu wanatumiaga SPSS
 
mkuu unaweza kunisaidia niipate hii software, nimejaribu kuidownload nafail inataka licence
 
Back
Top Bottom