Je, ni kweli Tanzania ajira hakuna au vijana ndio hawaajiriki?


siwezi kusema sana maana huenda ukawa upo sebleni kwa shemeji yako unasubiri unasubiria dada yako apigwe p**bu ili kesho upewe hela ya kununulia pens karume
Usikute na ww unajiita digrii oda ,unashindwa kujibu hoja unabwabwaja.
Itatuchukua mda sana mpk vijana km ww kujitambua🤔🤔🤔🤔
 
akae tu kimya aisee,
 
Dhana yako si mbaya lakini hili ni jukwaa pana mno si vizuri kuandika matusi, Kuhusu uzi uliouleta jukwaani, Kwa mtazamo Wangu Mifumo ya elimu yetu inazalisha vijana tegemezi na ambao ni vigumu kukabiliana na changamoto za soko la ajira kwa sasa, kinachopelekea wahitimu wa vyuo tuliowengi kushindwa kustahimili hekaheka za vituo vyetu vya kazi ni nadharia tunazokaririshwa vyuoni, unapoenda katika kituo cha kazi, kazi zinatafsiriwa na si kufanya ulichokaririshwa chuoni, siwalaumu wahitimu katika hilo, kazi zipo kiasi na zinahitaji kujiongeza na kutumia akili ya ziada pindi unapozibahatisha.
 
mkuu, hawa graduates ndo watu wanaotegemewa kufika makazini ndo wabadilishe mifumo ya zamani waweke mipya, wawaoneshe hao waliowatangulia ufanisi kwa ku-introduce maarifa mapya waliyoyapata, ila unakuta huko makazini ni ngumu ku-implement elimu zao na hao staff waliokuwepo labda kuna kazi wanazifanya kwa magumashi + mazoea, na hawataki kukosolewa, sasa inakua changamoto hata kwa hawa vijana kuzitunza hizo kazi..

hapo sijagusia makampuni yanayowanyonya au kuwacheleweshea mishahara mpaka miezi3, kwingine siku hzi ndo hawataki hata kutoa mikataba kwa hawa vijana wapya,.. wengine hawawataki vijana wenye degrees kua wajuaji, sasa kama mnakosea msielimishwe!?.. matokeo yake vijana wa bachelor wana uhaba sana wa ajira kuliko wa chini yao,..

anyway hili ni jukwaa huru.
 
Mkuu, kama wewe no freshgraduate, uko sahihi kusema hivyo, nilichokizungumzia hapa ni ni Mifumo ya elimu yetu hebu jitathmini mwenyewe somo la entrepreneurship ambalo ni lazima siku hizi vyuoni linatolewa kwa nadharia, ujasiriamali gani unaofanyika kinadharia????!!!! Tuachane na hilo, mambo yanayofanyika kazini ni tofauti na nadharia tunazomezeshwa chuoni na ndiyo maana tukifika kazini kutoka vyuoni, tunaweza kuona kuwa kila wanalolifanya watu tuwakutao kazini wanakiuka taratibu.
 
Hii mentality ntaanza kuivunjia kwa mwanangu, sipeleki shule tofauti na serikalini.
 
Naomba nitangulie na kusema KMMMKO!

Kampuni ngapi zimekosa wafanyakazi miongoni mwa Graduates kwa kigezo kuwa hawafai?

Hao wenye makampuni wanajua fika kuwa tatizo kuna Surplus ya wahitimu na hawawezi kuwa accomodate wote. Wanachokifanya ni kuweka Criteria ambazo sio peculiar kama Year of completion, Height, Experiences n.k ambavyo wanapunguza watu hata wenye uwezo. Perfomance ya mtu haipimwi kwa cheti bali utendaji na kujiongeza. Average joes wengi ndio huwa wako sharp makazini iko wazi.
 
Sector binafsi imekufa kifo Cha mende chini ya utawaka wa jpm. Mfano dangote anakaribia kufunga, uchumi supermarket eameshaclose business, mlimani city muda wowote wanaondoka, mo anataka ahamishe biashara zambia, bakhresa amehamisha biashara zake kwa asilimia kubwa Uganda, shule binafsi zinafungwa biashara kila siku mfano ni st Antony walimu wote eamefukuzwa shule haina uwezo wa kuwalipa, fdi zimeyeyuka. Nadhani umeona jinsi gani ajira ni tatizo chini ya dictator mafufoool.
 
hapana mkuu mimi sio fresh graduate nna experience ya kazi miaka kadhaa, nmewahi kufanya kazi sehemu tofautitofauti na kushindwana nao kutokana na kulazimishwa tabia za kimazoea ambazo kiuhalisia hata miiko ya kazi na fani husika ilikua inakataza, mpka nlipopata kampuni ya kutoka nje, ndo nkaweza kufanya kazi kwa ufanisi kama elimu yangu nliyoipafa ilivyokua inataka,.. ila kampuni zetu nyingi zinataka mtu ufanye kazi kibongobongo tu, yaan kwakua ilikua inafanyika hvo basi iendelee tu japo sio sahihi..
 
sidhani kama unaijua industry ya ajira vizuri,ndio maana unaandika vitu visivyo na logic kwa ushabiki wa kisiasa.🤔🤔🤔
 
sidhani kama unaijua industry ya ajira vizuri,ndio maana unaandika vitu visivyo na logic kwa ushabiki wa kisiasa.🤔🤔🤔
Wewe kuwa na ajira hakukufanyi uwe na akili nyingi kiasi cha kutaka uandikiwe unavyotaka kuvisikia tu. Halafu uambie watu wana ushabiki kisiasa, my friend unafeli.

Heshimu mitaa na hustlers, hii game ya street huiwezi wewe. Hio ajira isikutie kiburi kabisa maana ukitupwa street utaweza Danja
 
Usizungumze kuhusu mitaa bro ,mm ndio imenilea hata hapa ninapoandika nyuma ya kiboard nipo kitaa na hustle kimpango wangu usidhani mtu akiandika hivyo ndio kwamba yupo kwny system fulani anakula mema ya nchi ila tu naandika ukweli wa kile ninachokiona kwny industry na maeneo niliyopita pita baba.

Ma channel ya ajira yapo mengi ila hatuwezi kutoboa baba coz hatu fit katika mifumo hiwe ya ndani mpaka ya kibeberu ndio usiseme .
 
i Ungekuwa upo mtaa usingekuwa na guts za kukandia wana. Acha usoro!!!
 
Topic iko vizuri, lakini ulivyoieleza sivyo, wengi wasio na kazi sio wasomi pekee hata wasiosoma, kutokuajirika maana yake wamejaribiwa kupewa kazi lakini utendaji ni ziro hao ndio hawaajiriki, ukiajiriwa uwe na ubunifu,mimi nawazungumzia walioajiriwa halafu wakaregea hao ndio ulitakiwa kiwazungumzia kwenye topic yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…