dada asali ndo maana zikawepo forum mbalimbali,we nakushauri fungua the great thinker mkaongelee man evolution na moon landing consipiracy ,huku ni umbea na kufatilia maisha ya cerebrityJamani hebu msituchoshe na mambo yenu.Kwani kutokuhudhuria kwake kumepunguza nini?Sasa watu wazima tuanze kuchunguza mambo ya watu jamani like serious????
Na kwa nn unahisi ilikua lazima ahudhurie....??? Amepunguza nn kwa kutokuwepo kwake ambacho angekiongeza angekuwepo.....??? Tafuta mashamba mlime mazao ya malighafi za viwanda, vitajengwa na kufungwa kwa kukosa malighafi kwa sabb ya kushupalia nonsense kama hzswali ni kwanini hakuudhuria?
kwani nao huu ni umbey?
Haya endelea kuchunguza mambo ya watu na kupiga umbeadada asali ndo maana zikawepo forum mbalimbali,we nakushauri fungua the great thinker mkaongelee man evolution na moon landing consipiracy ,huku ni umbea na kufatilia maisha ya cerebrity
Clips gani?Angalieni clips za harusi tajwa Mtaniambia,mbaya zaidi sijaona eneo la kuombewa apology.
Je ni kwanini hakuhudhuria?
Povu la nini shangazi?Jamani hebu msituchoshe na mambo yenu.Kwani kutokuhudhuria kwake kumepunguza nini?Sasa watu wazima tuanze kuchunguza mambo ya watu jamani like serious????
kipilipili sisi huku Dodoma hatuma mambo ya akina comedy sasa wapi na wapi tuwashobokee, kwanza ndio tunashangaa mtu kaoa basi hata jukwaa halitoshi wakati hao kina joti tunajua wana nyumba na familia#wanaume wa dodoma
Chokonoa chokonoa na uchonganishiAngalieni clips za harusi tajwa Mtaniambia,mbaya zaidi sijaona eneo la kuombewa apology.
Je ni kwanini hakuhudhuria?