Je, ni kweli Mpoki hakuhudhuria harusi ya Masanja?

Na juu ya hili umeshindwa kulala, yupo mbona angalia tena mkanda...anaonekana mikono na sikio.

Ungeuliza swali lako kivingineeee na jibu unalotaka ungepewa.
 
Katika harusi ya Mchekeshaji Maarufu Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja aliyofunga na Monica Jumamosi iliyopita na kusimamiwa na Moja ya Mc maarufu Mjini Mcpilipili ila cha kushangaza rafk au wachekeshaji wenzie wanaounda kundi la ze comedy walikuwepo wote kasoro Mpoki sasa ni jambo la kushangaza sana.

Je nn kilimkuta?had kushindwa kufka
Je kunatofaut juu ya watu hawa?
Na kama ipo mbona hatujawah isikia

Wataalam ebu tujuzane
Mi hichi kitendo hakijanifurahsha kabsa
 
Na kwa nn unahisi ilikua lazima ahudhurie....??? Amepunguza nn kwa kutokuwepo kwake ambacho angekiongeza angekuwepo.....???
Mpenda kula Tafuta mashamba ulime mazao ya malighafi za viwanda, vitajengwa na kufungwa kwa kukosa malighafi kwa sabb ya kushupalia nonsense kama hz
 
Mpenda kula Tafuta mashamba ulime mazao ya malighafi za viwanda, vitajengwa na kufungwa kwa kukosa malighafi kwa sabb ya kushupalia nonsense kama hz
Hebu tuache unafiki enyi masadukayo ,wewe umeingia kufanya nini kwenye post ya nonsense tena umeshiriki kwa kucomment ,kwani jukwaa la kilimo hulijui,ewe mfalisayo litoe boliti machoni pako
 
dada asali ndo maana zikawepo forum mbalimbali,we nakushauri fungua the great thinker mkaongelee man evolution na moon landing consipiracy ,huku ni umbea na kufatilia maisha ya cerebrity
Nimependa jibu lako
 
Angalieni clips za harusi tajwa Mtaniambia,mbaya zaidi sijaona eneo la kuombewa apology.

Je ni kwanini hakuhudhuria?
Mimi pia nimeshangaa hata kwenye insta yake mpoki hajapost chochote kutokana na ile harusi , kutakuwa kuna namna
 
Jamani hebu msituchoshe na mambo yenu.Kwani kutokuhudhuria kwake kumepunguza nini?Sasa watu wazima tuanze kuchunguza mambo ya watu jamani like serious????
dada umeingia jukwaa linaitwa "celebrities forums" ulitegemea humu kukuta kinaongelewa nini zaidi ya CELEBRITIES? Watu wengi wanakosea sana kujaji mada za humu sijui kwa nn wanashindwa kutambua maudhui ya hili jukwaa.inaonesha wewe ni muumini wa "great thinkers" jaribu kuheshimu lengo la hili jukwaa.sio kila siku tuongelee siasa,biashara na the likes,sometimes unahitaji kurelax akili.
 
Hii barua yako ilichukua dakika ngapi kuiandika?Aiseee una moyo wa uandishi
 
Back
Top Bottom