Je, ni kweli mji wa Mecca upo katikati ya dunia?

Je, ni kweli mji wa Mecca upo katikati ya dunia?

hivi uwezi huka describe tuh mpaka ukejeli watu? si unaelezea mtazamo wako watu tuna kuelewa asa vijiwe vya kahawa vina tokea wapi na maada????
Vijiwe vya kahawa ndivyo vina vitu kama hivyo mkuu.
Sijakukejeli! Au nawe ni mnywa kahawa haha
 
Nimesikia watu Fulani..maeneo Fulani wakisema mecca ndio katikati ya dunia...
Km ni kweli dunia ni spherical shape huo ukatikati unatoka wapi?
Namanisha sphere ina center kweli?
Nafikiri km katikati ni mecca basi dunia ni flat....
Nipe elimu hapo wale physical geography.....
Waacheni waendelee kudanganyana. Kila mahali ktk uso wa dunia hii ni katikati ya dunia. Hao jamaa zetu wanapenda sana kujitenga na wenzao kwa sababu nyepesi kabisa.
 
Toa hiyo minyororo ya ujinga kwenye akili yako,mtoa mada hajawataja warabu,sasa wewe unawaingizaje kwenye hii mada,trump hajakosea kuwaita shithole... unajibu usichoulizwa
Waarabu wamekufanya mateka unatumia lugha yao kumuomba mungu wao mume wako ana jina la mwarabu watoto aliokuzalisha kawapa majina ya kiarabu

Ni lazima uwatetee waarabu tu viumbe washenzi kuliko viumbe wote duniani
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Wajukuu wa marehemu Mwamedi kwa nini mnapenda shari?
Kwi kwi kwi.

Mkiambiwa nyie makafiri wanafki hamtaki kukubali.

Hivi hujaona wagalatia wenzako walivyoanza shari?

Au ndo divai na mkate wa bwana mnaokula kanisani mkidanganyana mwili wa bwana unakufanya ushindwe kuona ushari wa wenzako

Amma kweli ukiwa mgalatia ni khasara tena kubwa sana.
 
mie mdau sanaa pale kko na buguruni sawa ujakejeli ila ime sound vile una tu crush
Haha ndio maana mkuu umechukia kimtindo..
lkn si ni kweli kuwa kwenye vijiwe vya “gahwa” stori zao mara nyingi ni zakusadikika au unakataa
 
It's all about lats and longs mate....

Tanzania kama nchi inaanzia latitude kadhaa hadi latitude kadhaa toka kusini hadi kaskazini na vilevile longitude kadhaa hadi longitude kadhaa mashariki hadi magharibi... (Hivyo kwa dhana hiyo ya hizo imaginary lines unaweza ukapata eneo ambalo ni katikatika )
So case is true for Mecca,for that matter?
 
Kwi kwi kwi.

Mkiambiwa nyie makafiri wanafki hamtaki kukubali.

Hivi hujaona wagalatia wenzako walivyoanza shari?

Au ndo divai na mkate wa bwana mnaokula kanisani mkidanganyana mwili wa bwana unakufanya ushindwe kuona ushari wa wenzako

Amma kweli ukiwa mgalatia ni khasara tena kubwa sana.
Mimi siyo Mgalatia, you're very wrong Son.
 

Attachments

  • 41B7E524-8A36-4B1D-A425-02D5C5ED6B8C.png
    41B7E524-8A36-4B1D-A425-02D5C5ED6B8C.png
    62.8 KB · Views: 83
Waarabu wamekufanya mateka unatumia lugha yao kumuomba mungu wao mume wako ana jina la mwarabu watoto aliokuzalisha kawapa majina ya kiarabu

Ni lazima uwatetee waarabu tu viumbe washenzi kuliko viumbe wote duniani
Wagalatia bwana mnanishangaza kweli.

We mwenyewe umefanywa mateka na wale washikaji waliomsulubu mungu wako kwenye kiguzo cha msalaba mpaka akawa analia na kusaga meno kama mtoto.

Cha ajabu leo huoni wala huambiwi kitu kuhusu wao na mpakakufikia kusema atakayewalaani na yeye atalaaniwa.

Pengine hapo ulipo umevaa bendera ya nchi yao kiunoni uku umeshika kiuno unaandika mashudu yako tu hapa.

Daah nyie ni wa kuhurumiwa sana.
 
Haha ndio maana mkuu umechukia kimtindo..
lkn si ni kweli kuwa kwenye vijiwe vya “gahwa” stori zao mara nyingi ni zakusadikika au unakataa
zipo za kweli na kusadikika depends na maada
 
So case is true for Mecca,for that matter?
Lats & longs kila sehemu zipo. Greenwich ambayo ni 0° imepita accra ghana na equator 0°imepita juu kidogo ya ziwa Victoria tz.
Zingekua zimentersect maka sawa lkn hapo ni ishu nyingine tu
 
Back
Top Bottom