Je, ni kweli mji wa Mecca upo katikati ya dunia?

Acha uboya katikati ya Tanzania ipo katikati ya afrika ipo katikati ya marekani ipo ila katikati ya dunia hakuna kitu kama hicho
Ktkt ya dunia hakuna nchi wala binadamu ni ndani ya tufe la dunia kuna nguvu ya graviti na vitu tusivyo vijua
 
f74cb7e823863fcedf786a580747971d.jpg
uwezi tenganisha ili swala Nyie mna Uislam .kwani limeletwa na kuamuliwa Mecca ndio kati ya dunia na viongozi wakuu wa kiislamu.hivyo tujikite kupata jibu
Nyie makafiri bwana divai mnazokunywa zinawafanya mshindwe kufikiri.

Kwahiyo jambo aki propose shekhe hata kama ni lake binafsi basi linawahusu waislamu wote?

Pia ulijaribu kutafuta sababu klwanini huyo shekhe kasema hivyo.

Au kama kawaida yenu wagalatia kudandia gari kwa mbele.
 
Waarabu ni wakupuuza tangu waseme kuna bikra 70 zinakusubiri ukifa unazikuta mbinguni nimewadharau
Bora waarabu Imani imeeleza hivo katika vitabu@ VP we ambaye unaabudu na kufuata vitu vingi ambavyo havipo katika kitabu ....na mifano unaijua
At the lazima tuheshimu imani ya MTU,,tukianza kuchambua hakuna atakayebaki salama...
 
Naomba msaada
Kama kweli dunia ni Spherical naomba mwenye ramani ya dunia tofauti na tuliyoizoea yani ramani ambayo afrika haiko katikati iwe eidha kulia kabisa au kushoto kabisa
 
Neno mashariki ya kati ndio limekusukuma kusema kia maka iko ktkt ya dunia , maka haijagusa logitudo zero wala latitude zero wala haijaintersect kwenye zero mbil hizo

Kuhusu kua ktkt si kwa kigezo jicho nlichitaja hapo juu wala ulichotaja wewe icpokua ilikua tatriban ktkt kwa wakati ule wa mtume muhamad ikihusianishwa na miji/nchi za jiran kuifikia makka kutika upande mashrik na maghrib waliokua wanakuja kuhiji
 
as
Sijaleta unafiki ila ninyi waislamu mnapaswa mjitathmini na mbadirike mnapenda kujikweza na kuhukumu wengne kumbuka
"Usimuhukumu mwenzio kwani nawe utahukumiwa, ajikwezae atashushwa, njia bora ya kufika kwa Mungu ni kujifanya kama mtoto mdogo mbele ta Mungu"
asa bro usi judge dini kupitia watu! kuna dini na kuna watu. mfano ni seme dini yenu fake wachungaji wapigaji je ukristo unavundisha upigaji? sio wote wako hivyo unavyo sema wewe hata nyie mbadilike
 
Unaona utofauti uliopo, kati ya ww na huyo jamaa.. yy anachojua ni kutukana tuu..
Mkuu ww ni mtu wa imani ya kweli huyu jamaa anamihemko ya dini..
 
Nilipata division 5 nimetoa mada nieleweshe kitaalamu nashangaa habari za dini zinatoka wapi? Kazi kwelkweli
 
as

asa bro usi judge dini kupitia watu! kuna dini na kuna watu. mfano ni seme dini yenu fake wachungaji wapigaji je ukristo unavundisha upigaji? sio wote wako hivyo unavyo sema wewe hata nyie mbadilike
Hapo al akhy utakua kama unampigia mbuzi gitaa.

Tangia lini makafiri wakaacha unafki.

Hao unafki upo damuni hata Allah katika quran ametubainishia wazi unafki wao.

Ndio maana wapo tayari kushambulia wenzao wakishambuliwa wao kama wafanyavyo watakwambia we ndo mgomvi.

Hawa nawezana nao mie dawa yao ni bakora kwa kwenda mbele.
 
hahah wewe mkali
 
Mada haina unasaba na dini yoyote iko kijiografia zaidi...toeni fact
 
ni kweli, ila kidogo dini hipo cuz huo mjii ni wa waislam tena ni mjii mtukufu una beba history nzima ya uislam ndo uliko anzia so lazima dini iwepo.
 
Nilipata division 5 nimetoa mada nieleweshe kitaalamu nashangaa habari za dini zinatoka wapi? Kazi kwelkweli
Ingia Google utaupata ukweli
Andika centre of the world
Mecca ndio katikati
Ukweli ndio huo
 
ni kweli, ila kidogo dini hipo cuz huo mjii ni wa waislam tena ni mjii mtukufu una beba history nzima ya uislam ndo uliko anzia so lazima dini iwepo.
Ni kweli najua imeanzia hapo BT mi nataka fact kweli au si kweli sasa mjadala wa dini unatoka wapi? Acheni haya mambo....aise
NB: nilichogundua kuna watu wanahisi wivu mecca kuwa center, km ni kweli wivu wa nin?
Toeni hoja za kijiografia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom