Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,184
- 111,125
It's all about lats and longs mate....Sambamba na Swali hilo, Watanzania wanapoutaja mji wa Dodoma kuwa ndiyo upo kati kati ya nchi Tanzania iko flat, ama umbali wa kutoka Dodoma, mpaka Mtwara, Dodoma kwenda Kagera na Kutoka Dodoma kwenda Kigoma, Dodoma, kwenda Arusha ni sawa. Ningefurahi zaidi swali hili likijibiwa na alieweka mada hii hapa, kutokana na Kigozo ulichoweka Cha Dunia kuwa flat ndipo eneo fulani la Dunia paitwe katikati.
Tanzania kama nchi inaanzia latitude kadhaa hadi latitude kadhaa toka kusini hadi kaskazini na vilevile longitude kadhaa hadi longitude kadhaa mashariki hadi magharibi... (Hivyo kwa dhana hiyo ya hizo imaginary lines unaweza ukapata eneo ambalo ni katikatika )