Je, ni kweli mji wa Mecca upo katikati ya dunia?

Je, ni kweli mji wa Mecca upo katikati ya dunia?

ukijibiwa ni tag
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimesikia watu Fulani..maeneo Fulani wakisema mecca ndio katikati ya dunia...
Km ni kweli dunia ni spherical shape huo ukatikati unatoka wapi?
Namanisha sphere ina center kweli?
Nafikiri km katikati ni mecca basi dunia ni flat....
Nipe elimu hapo wale physical geography.....
 
Screenshot_20180119-083305.png
 
Wewe embu jiongeze na wewe, izo akili za kupewa uchanganye na zako.
Katikati ya dunia kuna CORE, huo mji hauwezi kuwa katikati kwasababu dunia ni duara.

Tafuta ilipo longitude na latitudes 0° zinapo intersect.. bado hapawezi kuwa katikati ki geografia.

Hao ni mamluki tu wa vijiwe vya kahawa.
 
Mpaka Galileo alipogundua kuwa dunia haikua flat bali mviringo, vitabu vingi viitwavyo vitakatifu vilishaandikwa...hivyo kuna uwezekano mecca ni katikati kwa dunia iliyopo flat kama meza, ila hata hiyo hoja haijawahi kuthibitishwa kisayansi
 
Sambamba na Swali hilo, Watanzania wanapoutaja mji wa Dodoma kuwa ndiyo upo kati kati ya nchi Tanzania iko flat, ama umbali wa kutoka Dodoma, mpaka Mtwara, Dodoma kwenda Kagera na Kutoka Dodoma kwenda Kigoma, Dodoma, kwenda Arusha ni sawa. Ningefurahi zaidi swali hili likijibiwa na alieweka mada hii hapa, kutokana na Kigozo ulichoweka Cha Dunia kuwa flat ndipo eneo fulani la Dunia paitwe katikati.
Yale yale tunayo tuhumiwa nayo watz unaulizwa swali unajibu kwa kwa kuuliza swali au vinginevyo tuna toa jibu rahisi kwa swali gumu [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mkuu nimewaza kuwa tumefundisha kuwa dunia ina mfano wa tufe or mpira sasa kujua katikat ya mpira ni mtihan
Kwa elimu ya kimazingira, mpira kama umewekwa mezani unashindwaje kuupima? Kipimo kinapoanzia ndipo kinapoishia.
Kwani waliopima dunia na kubaini ukubwa wake walitumia kanuni gani?
Halafu hii dhana ya "dunia flat", huwa ninajiuliza watu wanafikiaje kuwaza namna hiyo?
Kuna sehemu ushawahi kusikia ukifika lazima urudi ulikotokea, kwamba kuna ukuta ama shimo?
Jiulize kwanini Urusi na Marekani ni majirani, wakati kijiografia Marekani ipo Magharibi mwa dunia na Urusi ipo mashariki mwa dunia?
Na maeneo ya kimgando ya dunia(N. Pole & S. Pole) yamefungamana ingawa jingine lipo kusini na jingine kaskazini?
Ukatikati unaoongelewa hapo ni ukatikati wa kijiografia ya kibinadamu kwa kutumia macho meupe kwa kuangalia mabara ya dunia bila kipimo.
Walipokuja wataalamu kuipima dunia ndiyo wakaipigia mistari ya Kaprikoni, kansa na ikweta.
Kwa afrika mashariki, ikweta imepitia maeneo ya Uganda
 
Sambamba na Swali hilo, Watanzania wanapoutaja mji wa Dodoma kuwa ndiyo upo kati kati ya nchi Tanzania iko flat, ama umbali wa kutoka Dodoma, mpaka Mtwara, Dodoma kwenda Kagera na Kutoka Dodoma kwenda Kigoma, Dodoma, kwenda Arusha ni sawa. Ningefurahi zaidi swali hili likijibiwa na alieweka mada hii hapa, kutokana na Kigozo ulichoweka Cha Dunia kuwa flat ndipo eneo fulani la Dunia paitwe katikati.
Dunia Ilivyo Ni Tofauti Na Raman Ya Tz Huwezi Kufananisha Chukulia Mfano Wa Gozi(mpira Wa Miguu) Huwa Unavipande Vya Pembe Nne Vingi Vimeunda Mpira Wote Au Vimekamilisha Mpira, Sasa Ukichukua Kipande Ki 1 Na Ukitaka Kujua Katikati Ni Wap Unaweza Jua Sasa Kwa Mfano Huu Kipande Ki 1 Ndo Ramani Ya Tanzania Ndani Ya Dunia Hvo Kama Tukichukua Mpira Na Kutaka Kujua Wapi Katikati Kila Sehemu Patakua Katikati , , , , , ,
 
Yes.

We are very special

Very special than many of you kafir Galatians.
Mfia Dini alokosa akili, uspecial gani ulionao? Alafu kwa nini umuite mwenzio kafir wakati kakuzidi akili?
 
Wewe embu jiongeze na wewe, izo akili za kupewa uchanganye na zako.
Katikati ya dunia kuna CORE, huo mji hauwezi kuwa katikati kwasababu dunia ni duara.

Tafuta ilipo longitude na latitudes 0° zinapo intersect.. bado hapawezi kuwa katikati ki geografia.

Hao ni mamluki tu wa vijiwe vya kahawa.
hivi uwezi huka describe tuh mpaka ukejeli watu? si unaelezea mtazamo wako watu tuna kuelewa asa vijiwe vya kahawa vina tokea wapi na maada????
 
kwanza dodoma sio katikati ya Tanzania hili swali lilishajadiliwa bungeni katikati ya Tanzania ipo Singida hadi pink iliwekwa kuonyesha hapo ndo katikati
 
jamaani hivi kejeli,matusi etc yana tokea wapi yote??? jamaa ka present maada so leteni hoja habari za kuuza kahawa,kafir etc ya nini.
 
Back
Top Bottom