prenge
JF-Expert Member
- Dec 14, 2015
- 219
- 283
Nimesikia watu Fulani..maeneo Fulani wakisema mecca ndio katikati ya dunia...
Km ni kweli dunia ni spherical shape huo ukatikati unatoka wapi?
Namanisha sphere ina center kweli?
Nafikiri km katikati ni mecca basi dunia ni flat....
Nipe elimu hapo wale physical geography.....