abiko
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 692
- 588
Huyu so ndo yule alopiga picha mlimani akadanganya dunia kuwa yuko mwezini? Kama ndo yeye unapatawapi ujasiri wa kumtumia kama reference?
Huyu so ndo yule alopiga picha mlimani akadanganya dunia kuwa yuko mwezini? Kama ndo yeye unapatawapi ujasiri wa kumtumia kama reference?
kafir ni neno la kiarabu likimaanisha mtu ambae sio muislam, kwa hiyo yeyote ambae sio muislam ni kafir(aliyekufuru au asiyefuata dini iliyosahihi ya uislaam) yan mfano mtu ambaye hajaoa anaitwa bachela...Mfia Dini alokosa akili, uspecial gani ulionao? Alafu kwa nini umuite mwenzio kafir wakati kakuzidi akili? Akili kama zako ndo shithole
bado unaleta udini kwenye maada za kitaalamu kama hiz?Waislamu utawaweza nao kwa kupenda kujikweza..
Kwasababu umeonyesha tabia zisizo zakiumeTengua kauli hapo uliponiita dada na kupachikwa mimba then tujadili mada.
Hivi kuna waarabu humu!!!kafir ni neno la kiarabu likimaanisha mtu ambae sio muislam, kwa hiyo yeyote ambae sio muislam ni kafir(aliyekufuru au asiyefuata dini iliyosahihi ya uislaam) yan mfano mtu ambaye hajaoa anaitwa bachela...
Mungu hapendi watu wanafki kama nyie,,acha kumuingiza kwenye ujinga wakoMungu akusamehe kwani nami nimekusamehe, barikiwa sana kaka..
Teeh teeh teeh.Mfia Dini alokosa akili, uspecial gani ulionao? Alafu kwa nini umuite mwenzio kafir wakati kakuzidi akili? Akili kama zako ndo shithole
Hapa dini inafkaje kwenye hii mada ya geographic issues,, aisee mbona mna akili ndogo hivi??? Kweli ccm wanahaki yakushinda,kwa akili hiziHawana fact...walifundishwa kuamini Qur'an hata kama inaji contradict!
Kwann haundani na suala wakati dodoma ni sehemu ya dunia ?Siyo hoja na mfano wako wa Dodoma hauendana na swala! Tuwe tuna stick katika subject badala wasting time.
Africa ni zaidi ya Arabs na Europeans,hapana hawajaruka angani ila sisi waafrika tumeruka angani mara nyingi tu.nenda shule kasome msinunue simu tu mnaingia kwenye mtandao hujui kitu eghypt misri ni nchi kwanza kuvumbua herufi a b c d sio mzungu misri ni nchi ya kwanza kuvumbua saa
sio yeye atakua labda trumpHuyu so ndo yule alopiga picha mlimani akadanganya dunia kuwa yuko mwezini? Kama ndo yeye unapatawapi ujasiri wa kumtumia kama reference?
Toa hiyo minyororo kwenye akili yako, mtoa mada hajawataja warabu,sasa wewe unawaingizaje kwenye hii mada, trump hajakosea... unajibu usichoulizwaWaarabu ni wakupuuza tangu waseme kuna bikra 70 zinakusubiri ukifa unazikuta mbinguni nimewaona shithole
Majibu yanategemea na contents ya swali , swali nyingine ujibiwa kwa swaliYale yale tunayo tuhumiwa nayo watz unaulizwa swali unajibu kwa kwa kuuliza swali au vinginevyo tuna toa jibu rahisi kwa swali gumu [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Huyu jamaa nimemsikiliza hoja yake sawa lakini hizo spot ziko nyingi duniani ambapo magnetic field ni 0. Na meddinah ni miongoni mwa hizo sehem hata darasani miaka hiyo tulifundishwa hii kitu kwenye mambo ya geophysics
Tanzania ipo kwenye uso(surface) wa dunia yaani ni 2D kwa hiyo kupata centre yake kwenye uso ni rahisi, ila Dunia kwa ujumla wake ni sphere , yaani 3D, kwa hiyo center yake haiwezi kuwa kwenye uso ila ndani katikati.... kama nimemuelewa mleta madaSambamba na Swali hilo, Watanzania wanapoutaja mji wa Dodoma kuwa ndiyo upo kati kati ya nchi Tanzania iko flat, ama umbali wa kutoka Dodoma, mpaka Mtwara, Dodoma kwenda Kagera na Kutoka Dodoma kwenda Kigoma, Dodoma, kwenda Arusha ni sawa. Ningefurahi zaidi swali hili likijibiwa na alieweka mada hii hapa, kutokana na Kigozo ulichoweka Cha Dunia kuwa flat ndipo eneo fulani la Dunia paitwe katikati.
Da vinci ila mchizi tokea mwanzo unaonesha upo hapa ki shari hapo juu tuh unaonesha unashambulia dini ya uislam kwani tatizo nini mbona dunia hipo against na muslim mie nashanga wakati kuna dini mia kidogo za kua abudu mshetani. lete facts za hio maada tuache story hizi za kurushiana manenoKwasababu umeonyesha tabia zisizo zakiume