Je, ni kweli maambukizi ya COVID-19 yamepungua nchini au ni propaganda tu?

Nakumbuka Jumapili Rais alisema maambukizi yamepungua nchini ya covid 19

Kuna maswali ya msingi ya kujiuliza.

Je, maabara baada ya kutuambiwa inatatizo isharekebishwa lini?
Je, ni lini ilianza kupima wagonjwa wapya wa covid 19?
Je, kama nzima mbona takwimu hazitolewi za wagonjwa wapya na waliopona?
Je, takwimu za Rais za wagonjwa alionao ni baada ya mashine kupona au la?
Je, mashine iliyotumika mtoto wake alipimwa kwa mashine zipi au hiyo hiyo aliyoishutumu?
Je, vituo alivyotaja rais ndivyo vilivyopo nchi nzima vya wagonjwa wa vovid19?
Je, kwanini madereva tuambiwe wanakorona ikiwa nchini maambukizi yamepunguwa?
Una ndugu mwenye maambukizi. Una ndugu aliyefariki kwa kovidi. Au jamaa.? Kama huna tulia sasa
 
Nakumbuka Jumapili Rais alisema maambukizi yamepungua nchini ya covid 19

Kuna maswali ya msingi ya kujiuliza.

Je, maabara baada ya kutuambiwa inatatizo isharekebishwa lini?
Je, ni lini ilianza kupima wagonjwa wapya wa covid 19?
Je, kama nzima mbona takwimu hazitolewi za wagonjwa wapya na waliopona?
Je, takwimu za Rais za wagonjwa alionao ni baada ya mashine kupona au la?
Je, mashine iliyotumika mtoto wake alipimwa kwa mashine zipi au hiyo hiyo aliyoishutumu?
Je, vituo alivyotaja rais ndivyo vilivyopo nchi nzima vya wagonjwa wa vovid19?
Je, kwanini madereva tuambiwe wanakorona ikiwa nchini maambukizi yamepunguwa?
Mimi mtu akishupalia C-19 sijui namuonaje,namuona kama sio mdadisi na hana independent thinking hivi.....

Hebu sikiliza clip ifuatayo labda utanielewa.

Nimeisikiliza na kuiangalia hiyo video clip, sijapata jibu kamili juu ya corona virus - ipo au haipo na kama haipo ni nini basi watu wanachougua? Kwa kweli clip hiyo imeniacha na maswali mengi kuliko majibu!
Asante sana kwa clip hiyo
 
Isikilize tena!
 
Nimekupa pa kuanzia,endelea kudadisi,utapata jibu.
 
Nakumbuka Jumapili Rais alisema maambukizi yamepungua nchini ya covid 19

Kuna maswali ya msingi ya kujiuliza.

Je, maabara baada ya kutuambiwa inatatizo isharekebishwa lini?
Je, ni lini ilianza kupima wagonjwa wapya wa covid 19?
Je, kama nzima mbona takwimu hazitolewi za wagonjwa wapya na waliopona?
Je, takwimu za Rais za wagonjwa alionao ni baada ya mashine kupona au la?
Je, mashine iliyotumika mtoto wake alipimwa kwa mashine zipi au hiyo hiyo aliyoishutumu?
Je, vituo alivyotaja rais ndivyo vilivyopo nchi nzima vya wagonjwa wa vovid19?
Je, kwanini madereva tuambiwe wanakorona ikiwa nchini maambukizi yamepunguwa?
Hebun taja ndugu zako na jirani zako waliofariki kwa COVID -19 lincha ya mikusanyiko ndio tuendelee kujadili hoja yako!
 
Ndio maana nasema zipo chaguzi mbili kwamba mtu achague kuamini kuwa corona ipo na inauwa sana ila hakuna ushuhuda Au kuchagua kuamini kwamba corona haipo/imepungua.

Unatuma vibaya neno ‘KUAMINI’ maana suala la korona lipo wazi ‘IMEPUNGUA SANA’ na madhara yake kwa Tanzania ni kama hayaonekani popote kwa jinsi yalivyo madogo.
 
Sijatumia vibaya hilo neno,mfano wewe unasema corona imepungua sana ila kuna watu wengine wao wanasema Tz corona ipo kwa wingi tu watu wengi wanajiuguzia nyumbani kimya kimya na wengine wanakufa ila vifo vyao havisemwi kuwa ni vifo vya corona. Kwahiyo wao kwa mtazamo wao ni kwamba kwa sababu Tz hatumi watu corona hivyo ndio maana hatuoni hizo athari za corona hivyo tunaificha hii corona.

Sasa hapo nani yupo sahihi? ndio maana nikatumia neno "kuamini" kwamba kila mmoja ana mtazamo wake na ndio anaamini hivyo.
 
Nafikiri COVID-19 hapa tz imepungua sanaaaaa.... pia haina makali ya kuenea tena, pia majirani walipojifungia wametusaidia sana kupunguza kuenea kwake...
 
Ndugu... kwa namna nilivyoiona COVID-19 jinsi ilikuwa inauwa watu kwa maelfu na namna wanasema inasambaa kiurahisi eg Italy, kama ingekuwa watu wanajiuguza CORONA nyumbani kama unavyodai.... nafikiri tungeumbuka... sababu tungezika Familia nyingi kwa pamoja... labda iwe haiambukizi kwa namna wanavodai... sabbu hapa mikusanyiko ya kawaida tuuu tunachapakazi kama kawaida...
 
Nafikiri COVID-19 hapa tz imepungua sanaaaaa.... pia haina makali ya kuenea tena, pia majirani walipojifungia wametusaidia sana kupunguza kuenea kwake...
Kwani mwanzo ilikuwa na ukali upi hadi sasa uone imepungu na kipi kilichopunguza hayo makali ya corona?
 
Nakumbuka Jumapili Rais alisema maambukizi yamepungua nchini ya covid 19

Kuna maswali ya msingi ya kujiuliza.

Je, maabara baada ya kutuambiwa inatatizo isharekebishwa lini?
Je, ni lini ilianza kupima wagonjwa wapya wa covid 19?
Je, kama nzima mbona takwimu hazitolewi za wagonjwa wapya na waliopona?
Je, takwimu za Rais za wagonjwa alionao ni baada ya mashine kupona au la?
Je, mashine iliyotumika mtoto wake alipimwa kwa mashine zipi au hiyo hiyo aliyoishutumu?
Je, vituo alivyotaja rais ndivyo vilivyopo nchi nzima vya wagonjwa wa vovid19?
Je, kwanini madereva tuambiwe wanakorona ikiwa nchini maambukizi yamepunguwa?
Naomba nikujibu maswali yako kwa kuwa mimi ni mtu wa secta Binafsi ila mdau wa Covid kwani inanigusa kwa namna moja au Nyingine.....
1. Baada ya maabara kuonekana kuwa inadosari; Vipimo vya kovidi sasa vinafanyika kwenye maabara nyingine iliyopo Mabibo
2. maabara hiyo Nyingine ya Mabibo ilianza kupima Covid- 7 mara moja baada ya ile ya kwanza kuwa na dosari
3. Nionavyo mimi, takwimu za Korona duniani hazina uhalisia WOWOTE; Nchi za Ulaya na Marekani, wanautaratibu kuwa mtu atatakiwa kupima pale atakapo onekana anadalili ILA mtu hawezi kupata kipimo hicho kama hana dalili ni labla atokee Nje ya Nchi ndio apime au pengine kwa sababu maalumu ya kusafiri na tozo kubwa ya $200 ( sawa na Shilingi za Kitanzania 460,000) inachajiwa kwa mtu mmoja.
Kwa huku Africa ndio Mchezo wa Kuigiza; wanapima watu wanaoingia mipakani na kutoa takwimu eti ndio wagonjwa wa Korona; Bila kujua kinachoendelea ndani ya Nchi zao. Kwa mtu yeyote mwenye MAARIFA anaweza kujua kuwa zile takwimu za Korona zinazotolewa na Nchi nyingine ni za Kisiasa zaidi ila HAZINA UHALISIA WOWOTE!!
4. Kwa mtazamo wangu, Takwimu za Raisi ni sahihi kwani zinareflect wale WALIOPIMWA na sio wanachi wote wa Tanzania.
5. Kwa maelezo hapo juu ni kuwa mtoto wake alipimwa kwa mashine za Kituo kipya cha Mabibo
6. Kuambiwa madereva wana Korona wakati Corona imepungua Nchini naweza kuiangalia kwa namna mbili
i. Sioni tatizo hapa kwani ukisema Malaria imepungua Nchini haina maana kuwa hakuna wagonjwa wa Malaria
ii. Inasemekana kuwa kulikuwa na Hujuma za kukomoana mipakani kwa wenzetu. Na hii ilileta shida sana mpaka wa tazania na kenya na pia mpaka wa Uganda na Kenya.
 
Back
Top Bottom