Je, ni kweli maambukizi ya COVID-19 yamepungua nchini au ni propaganda tu?

Apr 16, 2020
47
44
Nakumbuka Jumapili Rais alisema maambukizi yamepungua nchini ya covid 19

Kuna maswali ya msingi ya kujiuliza.

Je, maabara baada ya kutuambiwa inatatizo isharekebishwa lini?
Je, ni lini ilianza kupima wagonjwa wapya wa covid 19?
Je, kama nzima mbona takwimu hazitolewi za wagonjwa wapya na waliopona?
Je, takwimu za Rais za wagonjwa alionao ni baada ya mashine kupona au la?
Je, mashine iliyotumika mtoto wake alipimwa kwa mashine zipi au hiyo hiyo aliyoishutumu?
Je, vituo alivyotaja rais ndivyo vilivyopo nchi nzima vya wagonjwa wa vovid19?
Je, kwanini madereva tuambiwe wanakorona ikiwa nchini maambukizi yamepunguwa?
 
Si kweli kwa kuwa hakuna ushahidi wa kuthibitisha hivyo. Hii ni wiki ya tatu sasa hakuna mrejesho wa wagonjwa wapya wala vifo. Mipakani mwetu bado Watanzania wengi wanakutwa na COVID.
Tupe mrejesho Wa kwako ambao hauhitaji serikali tuanzie kwenye ukoo wako je wangapi wameugua corona,wangapi wamekufa na wangapi bado wanatibiwa na je maambukizi kwenye ukoo wenu yanaongezeka au yanapungua

Takwimu za ukoo sio siri hizo utakuwa nazo tupe
 
Back
Top Bottom