kwa hiyo wewe unataka uambiwe wamekufa wangapi wagonjwa wangapi halafu angekuwa mzazi wako ungelitaka kujuaWeka data hapa kuonyesha yamepungua, mmepima wangapi? Wamekufa wangapi? wamepona wangap? Bila hizi data hiyo ni illusion tu.

Una ndugu mwenye maambukizi. Una ndugu aliyefariki kwa kovidi. Au jamaa.? Kama huna tulia sasaNakumbuka Jumapili Rais alisema maambukizi yamepungua nchini ya covid 19
Kuna maswali ya msingi ya kujiuliza.
Je, maabara baada ya kutuambiwa inatatizo isharekebishwa lini?
Je, ni lini ilianza kupima wagonjwa wapya wa covid 19?
Je, kama nzima mbona takwimu hazitolewi za wagonjwa wapya na waliopona?
Je, takwimu za Rais za wagonjwa alionao ni baada ya mashine kupona au la?
Je, mashine iliyotumika mtoto wake alipimwa kwa mashine zipi au hiyo hiyo aliyoishutumu?
Je, vituo alivyotaja rais ndivyo vilivyopo nchi nzima vya wagonjwa wa vovid19?
Je, kwanini madereva tuambiwe wanakorona ikiwa nchini maambukizi yamepunguwa?
Hilo nalo neno!!! Hahahaa??????Yamepungua vipi wakati tuliambiwa vipimo haviaminiki?!
Hawa viongozi tulionao awamu hii itabidi muda wao wa uongozi ukiisha tuwaweke pale makumbusho ya taifa, vizazi vijavyo wapate nafasi ya kuwaona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mtu akishupalia C-19 sijui namuonaje,namuona kama sio mdadisi na hana independent thinking hivi.....Nakumbuka Jumapili Rais alisema maambukizi yamepungua nchini ya covid 19
Kuna maswali ya msingi ya kujiuliza.
Je, maabara baada ya kutuambiwa inatatizo isharekebishwa lini?
Je, ni lini ilianza kupima wagonjwa wapya wa covid 19?
Je, kama nzima mbona takwimu hazitolewi za wagonjwa wapya na waliopona?
Je, takwimu za Rais za wagonjwa alionao ni baada ya mashine kupona au la?
Je, mashine iliyotumika mtoto wake alipimwa kwa mashine zipi au hiyo hiyo aliyoishutumu?
Je, vituo alivyotaja rais ndivyo vilivyopo nchi nzima vya wagonjwa wa vovid19?
Je, kwanini madereva tuambiwe wanakorona ikiwa nchini maambukizi yamepunguwa?
Mimi mtu akishupalia C-19 sijui namuonaje,namuona kama sio mdadisi na hana independent thinking hivi.....
Hebu sikiliza clip ifuatayo labda utanielewa.
Isikilize tena!Nimeisikiliza na kuiangalia hiyo video clip, sijapata jibu kamili juu ya corona virus - ipo au haipo na kama haipo ni nini basi watu wanachougua? Kwa kweli clip hiyo imeniacha na maswali mengi kuliko majibu!
Asante sana kwa clip hiyo
Nimekupa pa kuanzia,endelea kudadisi,utapata jibu.Nimeisikiliza na kuiangalia hiyo video clip, sijapata jibu kamili juu ya corona virus - ipo au haipo na kama haipo ni nini basi watu wanachougua? Kwa kweli clip hiyo imeniacha na maswali mengi kuliko majibu!
Asante sana kwa clip hiyo
Hebun taja ndugu zako na jirani zako waliofariki kwa COVID -19 lincha ya mikusanyiko ndio tuendelee kujadili hoja yako!Nakumbuka Jumapili Rais alisema maambukizi yamepungua nchini ya covid 19
Kuna maswali ya msingi ya kujiuliza.
Je, maabara baada ya kutuambiwa inatatizo isharekebishwa lini?
Je, ni lini ilianza kupima wagonjwa wapya wa covid 19?
Je, kama nzima mbona takwimu hazitolewi za wagonjwa wapya na waliopona?
Je, takwimu za Rais za wagonjwa alionao ni baada ya mashine kupona au la?
Je, mashine iliyotumika mtoto wake alipimwa kwa mashine zipi au hiyo hiyo aliyoishutumu?
Je, vituo alivyotaja rais ndivyo vilivyopo nchi nzima vya wagonjwa wa vovid19?
Je, kwanini madereva tuambiwe wanakorona ikiwa nchini maambukizi yamepunguwa?
Ndio maana nasema zipo chaguzi mbili kwamba mtu achague kuamini kuwa corona ipo na inauwa sana ila hakuna ushuhuda Au kuchagua kuamini kwamba corona haipo/imepungua.
Sijatumia vibaya hilo neno,mfano wewe unasema corona imepungua sana ila kuna watu wengine wao wanasema Tz corona ipo kwa wingi tu watu wengi wanajiuguzia nyumbani kimya kimya na wengine wanakufa ila vifo vyao havisemwi kuwa ni vifo vya corona. Kwahiyo wao kwa mtazamo wao ni kwamba kwa sababu Tz hatumi watu corona hivyo ndio maana hatuoni hizo athari za corona hivyo tunaificha hii corona.Unatuma vibaya neno ‘KUAMINI’ maana suala la korona lipo wazi ‘IMEPUNGUA SANA’ na madhara yake kwa Tanzania ni kama hayaonekani popote kwa jinsi yalivyo madogo.
Ndugu... kwa namna nilivyoiona COVID-19 jinsi ilikuwa inauwa watu kwa maelfu na namna wanasema inasambaa kiurahisi eg Italy, kama ingekuwa watu wanajiuguza CORONA nyumbani kama unavyodai.... nafikiri tungeumbuka... sababu tungezika Familia nyingi kwa pamoja... labda iwe haiambukizi kwa namna wanavodai... sabbu hapa mikusanyiko ya kawaida tuuu tunachapakazi kama kawaida...Sijatumia vibaya hilo neno,mfano wewe unasema corona imepungua sana ila kuna watu wengine wao wanasema Tz corona ipo kwa wingi tu watu wengi wanajiuguzia nyumbani kimya kimya na wengine wanakufa ila vifo vyao havisemwi kuwa ni vifo vya corona. Kwahiyo wao kwa mtazamo wao ni kwamba kwa sababu Tz hatumi watu corona hivyo ndio maana hatuoni hizo athari za corona hivyo tunaificha hii corona.
Sasa hapo nani yupo sahihi? ndio maana nikatumia neno "kuamini" kwamba kila mmoja ana mtazamo wake na ndio anaamini hivyo.
Kwani mwanzo ilikuwa na ukali upi hadi sasa uone imepungu na kipi kilichopunguza hayo makali ya corona?Nafikiri COVID-19 hapa tz imepungua sanaaaaa.... pia haina makali ya kuenea tena, pia majirani walipojifungia wametusaidia sana kupunguza kuenea kwake...
Naomba nikujibu maswali yako kwa kuwa mimi ni mtu wa secta Binafsi ila mdau wa Covid kwani inanigusa kwa namna moja au Nyingine.....Nakumbuka Jumapili Rais alisema maambukizi yamepungua nchini ya covid 19
Kuna maswali ya msingi ya kujiuliza.
Je, maabara baada ya kutuambiwa inatatizo isharekebishwa lini?
Je, ni lini ilianza kupima wagonjwa wapya wa covid 19?
Je, kama nzima mbona takwimu hazitolewi za wagonjwa wapya na waliopona?
Je, takwimu za Rais za wagonjwa alionao ni baada ya mashine kupona au la?
Je, mashine iliyotumika mtoto wake alipimwa kwa mashine zipi au hiyo hiyo aliyoishutumu?
Je, vituo alivyotaja rais ndivyo vilivyopo nchi nzima vya wagonjwa wa vovid19?
Je, kwanini madereva tuambiwe wanakorona ikiwa nchini maambukizi yamepunguwa?
Hebun taja ndugu zako na jirani zako waliofariki kwa COVID -19 lincha ya mikusanyiko ndio tuendelee kujadili hoja yako!