mahya gashishi
Member
- Apr 16, 2020
- 47
- 44
- Thread starter
- #121
Huitaji kupiga nyungu season 3
Huitaji kupiga nyungu season 3
Nakumbuka Jumapili Rais alisema maambukizi yamepungua nchini ya covid 19
Kuna maswali ya msingi ya kujiuliza.
Je, maabara baada ya kutuambiwa inatatizo isharekebishwa lini?
Je, ni lini ilianza kupima wagonjwa wapya wa covid 19?
Je, kama nzima mbona takwimu hazitolewi za wagonjwa wapya na waliopona?
Je, takwimu za Rais za wagonjwa alionao ni baada ya mashine kupona au la?
Je, mashine iliyotumika mtoto wake alipimwa kwa mashine zipi au hiyo hiyo aliyoishutumu?
Je, vituo alivyotaja rais ndivyo vilivyopo nchi nzima vya wagonjwa wa vovid19?
Je, kwanini madereva tuambiwe wanakorona ikiwa nchini maambukizi yamepunguwa?
Muda unakuja kuthibitisha ukweli yamepungua!Nikweli yamepingua kabisa Tanzania ipo salama
Mjibu tu kistaarabu jibu moja kati ya haya.1.NdiyoUnataka nikupe jibu la "Ndiyo" ama "Hapana" kama kasuku bila maelezo! Pole sana kama ndivyo ulivyo. Mimi si mtumwa wa mawazo ya mtu.
Njia yangu ipi zaidi ya kuzingatia ushauri wa kujikinga, mimi na familia yangu, dhidi ya maambukizi na kuwashawishi walio karibu na mimi nao wazingatie?
JIKINGE UMKINGE JIRANI
JILINDE UWALINDE UWAPENDAO
Yameisha coz tuliomba Mungu na kwa Mungu ni Imani hakuna propagandaNakumbuka Jumapili Rais alisema maambukizi yamepungua nchini ya covid 19
Kuna maswali ya msingi ya kujiuliza.
Je, maabara baada ya kutuambiwa inatatizo isharekebishwa lini?
Je, ni lini ilianza kupima wagonjwa wapya wa covid 19?
Je, kama nzima mbona takwimu hazitolewi za wagonjwa wapya na waliopona?
Je, takwimu za Rais za wagonjwa alionao ni baada ya mashine kupona au la?
Je, mashine iliyotumika mtoto wake alipimwa kwa mashine zipi au hiyo hiyo aliyoishutumu?
Je, vituo alivyotaja rais ndivyo vilivyopo nchi nzima vya wagonjwa wa vovid19?
Je, kwanini madereva tuambiwe wanakorona ikiwa nchini maambukizi yamepunguwa?
SikaririshwiMjibu tu kistaarabu jibu moja kati ya haya.1.Ndiyo
2.Hapana
3.Sijui.
Jibu swali kufuata maelekezo uliyopewa.
Nakumbuka Jumapili Rais alisema maambukizi yamepungua nchini ya covid 19
Kuna maswali ya msingi ya kujiuliza.
Je, maabara baada ya kutuambiwa inatatizo isharekebishwa lini?
Je, ni lini ilianza kupima wagonjwa wapya wa covid 19?
Je, kama nzima mbona takwimu hazitolewi za wagonjwa wapya na waliopona?
Je, takwimu za Rais za wagonjwa alionao ni baada ya mashine kupona au la?
Je, mashine iliyotumika mtoto wake alipimwa kwa mashine zipi au hiyo hiyo aliyoishutumu?
Je, vituo alivyotaja rais ndivyo vilivyopo nchi nzima vya wagonjwa wa vovid19?
Je, kwanini madereva tuambiwe wanakorona ikiwa nchini maambukizi yamepunguwa?
Umesikia Rais akitangaza kila kituo na idadi iliyokuwepo na waliobaki na hakuna wagonjwa wapya wewe unataka nini tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu ndy man tunafichwa fichwa tyuu tunaendeshwa kama punda kanyaga twendeCorona bado ipo MIONGONI mwetu!!
Unamaanisha nini??Yamepungua vipi wakati tuliambiwa vipimo haviaminiki?!
Hawa viongozi tulionao awamu hii itabidi muda wao wa uongozi ukiisha tuwaweke pale makumbusho ya taifa, vizazi vijavyo wapate nafasi ya kuwaona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni kwamba na nyie kila mtu mnaempima mnadai ana corona wakati mtu ametembea na gari makilometa kibaao ametoka mzima mpaka mpakani alaf mkimpima etii ana corona sasa huoni hapo kutakuwa na hitirafu katika vifaa heb tulizeni vichwa ukweli mtaujua.Si kweli kwa kuwa hakuna ushahidi wa kuthibitisha hivyo. Hii ni wiki ya tatu sasa hakuna mrejesho wa wagonjwa wapya wala vifo. Mipakani mwetu bado Watanzania wengi wanakutwa na COVID.
Propaganda!!Ndo mambo ya Corona yanaanza hivyo. Mark my words! Tujiandae kufungiwa na nchi zingine kwani tutakuwa wazalishaji wa Corona. Tumeshapigwa Red na baafhi ya nchi kwa kutofuata maelekezo ya WHO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli kwa kuwa hakuna ushahidi wa kuthibitisha hivyo. Hii ni wiki ya tatu sasa hakuna mrejesho wa wagonjwa wapya wala vifo. Mipakani mwetu bado Watanzania wengi wanakutwa na COVID.
Ukitaka takwimu zilizo sahihi anza nyumbani kwako, jirani, ndugu na marafiki zako. Unajua hali halisi kwako, kwa jirani utajua kuna mgonjwa au kifo, ndugu na marafiki zako watakujulisha.
Ukiunganisha taarifa hizo unapata takwimu. Kitafiti, sample hiyo inatosha kukokotoa idadi ya maambukizi au vifo