Je, ni kweli kwamba wanawake wa kuoa hawapo?

Je, ni kweli kwamba wanawake wa kuoa hawapo?

Nyie wenyewe ndo wa kwanza ooh shake well before use! Mkinyimwa oh sipendwi mkipewa mnakimbia hiyo bikra itakuwepo tu? Tutaandamana kudai bikra zetu haki vile!!

Andamaneni bwana!:A S-rap:
 
yani MUYOOL sio siri natamanigi ningekuwa bikra af nikuweke kwenye anga zangu unioe af nikuonyeshe kuwa mwanamke kuolewa akiwa bikra sio sababu ya kuwa mke bora
ehehehehhehhehh basi tu
umekomaliiiiiiiiia bikra!
nani alikudnganya hyo habari wewe?

Ndio maana nakupenda dada yangu...

Swali la kizushi je yeye pia ni bikra???
 
Last edited by a moderator:
Hah Jmn mbona me NIPOO ,tena NINA BIKRA YA KABAANG bado..wahi golden chance hii...
 
hahaha haya sasa wenye bikra zao... ila na wanaume wa kuoa nao hamna... alaf cku hiz kwenywe maharus bibi harus namuona anatumbo kubwaa... ndy bikra yenyew ile eeeti eeh...?!
 
Kuolewa mnaolewa ili mradi
tu na ndio maana ndoa nyingi zina migogoro, uaminifu hakuna, mnawapa
wenzi wenu magonjwa tele, wanandoa wangekuwa hawaongozi kwa maambukizi
ya HIV huenda ungenishawishi.

hivi wewe ukoje,kwa maneno yako unaamini bikira ndio suluhisho ya ugomvi na magonjwa kwenye ndoa?????? na ni mwanamle tu ndo wakulaumiwa.......mi nakushauri uwe unafikiria mara mbili kabla ya kupost humu ndani
 
Wewe uloandika hili tangazo sijui badiko umeegemea upande mmoja mbona mabaya yenu hamyasemi "Eti tunaingia kwenye mahusiano kabla ya ndoa". kwani nyie umeingia baada ya kuoa ama?
 
kuna mwanamke wa kuoa, ni kweli hakuna wanawake wa kuoa, unaoa mwanamke huoi wanawake.
 
Back
Top Bottom