Je, ni kweli kwamba wanawake wa kuoa hawapo?

Je, ni kweli kwamba wanawake wa kuoa hawapo?

Wanawake wa kuolewa wapo na wakaka wa kuoa tupo, tatizo kukutana na hao wadada wa kuolewa ndio tatizo. Kila unapoingia unakutana na chaka.
 
Hahahahaaaa, nilionekana mwehu kitu.. (umewahi kumtathimin mtu anaye dansi akiwa na earphones... unashangaa mtu anakata mauno then husikii sauti yeyote... ndivo nlivyokua najichekea kwa screen yangu)..

Best navyokusoma ukiwa kwenye keyboard... Mmhh.. labda uwe unaongea then uandikiwe...

ahahahahaahahhah sas wewe ukiniulza kihivi ndo unazidi kupasua mbavu zangu!
kha
mwaya pole kumbe unaumiaga hv!
sirudii tena!
 
kwa experience yangu kama unahitaji happy kwenye ndoa yako tafuta kitu kipya, used iwe ni second choice inakera unapokuta ww ni mtu mwenye hadh na heshima yako alafu kijana kilingene anamsimulia mkeo kwa wenzake in and out.
 
yani MUYOOL sio siri natamanigi ningekuwa bikra af nikuweke kwenye anga zangu unioe af nikuonyeshe kuwa mwanamke kuolewa akiwa bikra sio sababu ya kuwa mke bora
ehehehehhehhehh basi tu
umekomaliiiiiiiiia bikra!
nani alikudnganya hyo habari wewe?

Muombee ampate tu wa ndoto yake, na aliyoyaamini yawe kama atakavyo!
Kwani ww mbaya kihivyo mpaka utamani kumwonyesha wazi kuwa alikosea kukuoa ww?
 
Back
Top Bottom