snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,337
Mwee mwee! Khaaa mbona atajutia kupost!!!! umenikumbusha kile kifuniko sijui alikiweka wapi tena yarabi... (acha hizo!!)
Bikira imewekwa kwa kusudi maalumu.. na kama haipo... haliondoi kusudi la mtu kuolewa.
Ngoja nikalanchike nije kurudia tena kuisoma hii comment yako nicheke vzr.
ahahahhha umenifanya nirudie kuisoma tena!
mechekeaaaaje!