Je, ni kweli kwamba wanawake wa kuoa hawapo?

Je, ni kweli kwamba wanawake wa kuoa hawapo?

HAKUNA MWANAUME ANAYEPENDA VITU "USED"-MITUMBA Tena vilivyochakazwa na VIBABU!!NI "BRAND NEW" MWANZO MWISHO !
 
Aaaah wew mabikra wamejaa kibao hujasema tu kama unataka utaletewa za kichina kitu inakuwa imekazaa balaaa.toa tangazo unataka kuoa bikra uone kama utakosa!!!!
 
kwan wanaume mabikra wapo? or ni sawa kwa mwanaume kuwa na historia ya wanawake lukuki before hajaoa, na km ni sawa kwa mwanaume kutokua bikra huyo mwanaume yy atatiana na migomba ama.?
achen kujitia wasafi sanah kila mtu atubu humu.. maana mnapenda sana put women on spot as if ni ruksa kwa mwanaume kuanza jamiiana b4 ndoa. km mnafanyaga na mbwa hapo sawa.
 
wanawake wa kipndi hichi cha WFT wepesi sana kuvua pichu. unakuta anapoishu kashawavulia watu nane. chuoni tisa.kazini wawil
mimba alizo toa sasa.

ukija kuoa fedheha tupu inabidi ufunge macho. nakuweka pamba maskioni. kujifanya huelewi chochote.
 
hivi wewe ukoje,kwa maneno yako unaamini bikira ndio suluhisho ya ugomvi na magonjwa kwenye ndoa?????? na ni mwanamle tu ndo wakulaumiwa.......mi nakushauri uwe unafikiria mara mbili kabla ya kupost humu ndani

sure thing
 
wanawake wa kipndi hichi cha WFT wepesi sana kuvua pichu. unakuta anapoishu kashawavulia watu nane. chuoni tisa.kazini wawil
mimba alizo toa sasa.

ukija kuoa fedheha tupu inabidi ufunge macho. nakuweka pamba maskioni. kujifanya huelewi chochote.

hao aliowavulia pichu ndy wanastahili anza hayo mambo before ya ndoa c ndyo.. mmekomalia wanawaaaaaake km vile hamna mama na dada zenu waliowavulia pichu shemeji zenu na baba zenu... both men n women wanatakiwa wawe sealed before ndoa. period! !!!
 
Wanawake wengi wamejiingiza ktk mahusiano ya kingono kabla ya ndoa tatizo hili linawasababaisha vijana kuogopa fedheha.Wanasema kama utaoa mke ambaye amengonoka na wanaume mengi ktk mtaa fulani basi ni fedheha kwa Muoaji hivyo baadhi ya wanaume wanaogopa kuoa kwa kuogopa fedheha,

Ktk vitabu vitakatifu kama biblia mwanamke na mwanamke wanapaswa kuwa bikra kabla ya ndoa na ndio maana Yusufu baada ya kugundua mariamu yu mjamzito alitaka kumkimbia kimya kimya mpaka Mungu alipoingilia kati.

Au Viongozi wa dini na wazazi wanashindwa kuhakikisha jamii inakuwa na mabikra wengi kabla ya ndoa kwa sababu ya maslahi ya kifedha.Maana siku hizi hata makanisani usishangae viongozi wa dini kuchukulia suala la binti au kijana kutokuwa na bikra kuwa jambo la kawaida jambo ambalo linachochea mmomonyoko wa maadili kuporomoka.

Je ni kweli kwamba wanawake wa kuoa hawapo?Na kama hawapo nini suluhisho kuhakikisha wanakuweopo?

Msiba wa wengi ni harusi..
 
Back
Top Bottom