Kuolewa mnaolewa ili mradi
tu na ndio maana ndoa nyingi zina migogoro, uaminifu hakuna, mnawapa
wenzi wenu magonjwa tele, wanandoa wangekuwa hawaongozi kwa maambukizi
ya HIV huenda ungenishawishi.
Lione vile,hizo ndoa wanaoana wanawake kwa wanawake we chiz?kama wanaume wanahusika basi wote full majanga,Hauchomoki kajipange upya.