Wanawake wengi wamejiingiza ktk mahusiano ya kingono kabla ya ndoa tatizo hili linawasababaisha vijana kuogopa fedheha.Wanasema kama utaoa mke ambaye amengonoka na wanaume mengi ktk mtaa fulani basi ni fedheha kwa Muoaji hivyo baadhi ya wanaume wanaogopa kuoa kwa kuogopa fedheha,
Ktk vitabu vitakatifu kama biblia mwanamke na mwanamke wanapaswa kuwa bikra kabla ya ndoa na ndio maana Yusufu baada ya kugundua mariamu yu mjamzito alitaka kumkimbia kimya kimya mpaka Mungu alipoingilia kati.
Au Viongozi wa dini na wazazi wanashindwa kuhakikisha jamii inakuwa na mabikra wengi kabla ya ndoa kwa sababu ya maslahi ya kifedha.Maana siku hizi hata makanisani usishangae viongozi wa dini kuchukulia suala la binti au kijana kutokuwa na bikra kuwa jambo la kawaida jambo ambalo linachochea mmomonyoko wa maadili kuporomoka.
Je ni kweli kwamba wanawake wa kuoa hawapo?Na kama hawapo nini suluhisho kuhakikisha wanakuweopo?