Je, ni kweli kwamba wanawake wa kuoa hawapo?

Je, ni kweli kwamba wanawake wa kuoa hawapo?

Makubwaaaa!watu tumeolewa na kila siku tunasherehekea harusi,wanaolewa kina nani kama c wanawakeeee???
 
Hahaha! ..umetangaza vita ndugu yangu

Hakuna vita ndio ukweli wa mambo, dunia ingekuwa na watu wenye akili mgando kama mleta mada basi wanawake wenye watoto kadhaa wasingeolewa.

Stupidity thread.
 
Usikurupuke, mleta mada kasema ukweli mmejawa na tamaa hadi mmeweka rehani utu wenu. wengi wenu mnatolewa bikra na watu wenye umri wa baba zenu au babu zenu, kibaya zaidi ni waume wa wenzenu na nyinyi mnajua. kimsingi mnatia kinyaa

Halafu huyu mtoa mada sijui akili zake km zinamsaidia, amesema wanawake siku hizi wanajiingiza kwenye mahusiano ya kingono kabla ya npdoa. Hiyo ni kweli kabisa...swali ni je hayo mahusiano ya kingono wanafanya wao kwa wao wanawake? Au wanafanya na viumbe gani kama siwanaume? Na je ni sahihi mwanaume kujihusisha na mahusiano ya kingono kabla ya ndoa au ni kwa mwanamke tu ndo sio sahihi? Jipange upya we mwanababa. Kama dunia kuharibika imeharibika both sides.
 
Ngoja ukue kue ndipo utakapojielewa na kama utaona inafaa unaweza kuja kuedit thread yako hii.....
Kwani kuolewa ni lazima? Hebu tuongelee wanawake wasomi wako wangapi mitaani kwetu na tunafanya juhudi gani kuwapata wengi iwezekanavyo ili wabadili jamii kuliko kila siku kuwapa dada zetu stress kisa tu hawajaolewa! Hivi hamjui kuwa kwa dunia ya ss msichana kwa kutosoma inampunguzia sana makisi ya kutoolewa mapema kulingana na mahitaji ya vijana wa mjini ambao mara nyingi wanataka mtu ambae ikiyokea Mungu kamchukua mapema basi back 2 achukue position ya baba nyumbani?
Napita tu ndugu zanguni.
 
Wakati mwingine gumegume lina afadhali kuliko hata huyo mwenye bikra, wewe kaa na kigezo chako hicho hicho cha ubikra kama ndio sababu ya mke mwema uone expectation zako zitakavyokuwa kinyume
 
Himidin kuja huku vijana wanaparuana busara yako inahitajika
 
Wakati mwingine
gumegume lina afadhali kuliko hata huyo mwenye bikra, wewe kaa na kigezo
chako hicho hicho cha ubikra kama ndio sababu ya mke mwema uone
expectation zako zitakavyokuwa kinyume

Atuoneshe yy ubikra wake upo?
 
Makubwaaaa!watu tumeolewa na kila siku tunasherehekea harusi,wanaolewa kina nani kama c wanawakeeee???

Kuolewa mnaolewa ili mradi tu na ndio maana ndoa nyingi zina migogoro, uaminifu hakuna, mnawapa wenzi wenu magonjwa tele, wanandoa wangekuwa hawaongozi kwa maambukizi ya HIV huenda ungenishawishi.
 
Usafi wa maisha ni wa kila mmoja
bila kujali jinsia, ikiwa hakuna wanawake wa kuoa basi hata wanaume wa
kuoa hawatakuwepo, ni dhana potofu kudhani kwamba usafi wa maisha ni wa
mwanamke halafu mwanaume yuko huru kwa lolote. wote tuaelea katika tufe
moja ikiwa kwenye tufe hili mambo sio sawa sote tumechangia. Ni dhana
potofu na isiyo na mantiki kusema hakuna wanawake wa kuoa duniani unless
kama kuna ulimwengu mwingine mtaenda kuwatafuta basi
mtujuze

Mia mia mdau,waambie waache ujinga.
 
Back
Top Bottom