Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
Ikiwa na yeye ni mtu wa Mungu kama sisi,hofu ya Mungu itakuwa ndani yake jirani amini usiamini.lkni kama ndo wale wa kasoro pombe na sigara..maweeee tumeumia maana skirt ndo ugonjwa wake..Hawezi kujua aisee sis watu wa Mungu tunawatafuta hawa
Ila isije kua ndo hagusi lakn upande mwingine ndo mwenyew
Tusamehe Dam55 tunakujadili huku