Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,242
Kiukweli nakunywa na ubaya nakun'guta kila aina ya pombe makata break buza mataputapu Heineken wines gongo vodka konyagi... nachanganya ladha.Na ww unakunywaa? Em kwanza nidokoze vp mtakatifu anaonja
Mtakatifu hapa ajisemee maana kuna wale wanavuta ila wanavutia washing room