Je ni kweli hili suala?

Je ni kweli hili suala?

Kiukweli nakunywa na ubaya nakun'guta kila aina ya pombe makata break buza mataputapu Heineken wines gongo vodka konyagi... nachanganya ladha.

Mtakatifu hapa ajisemee maana kuna wale wanavuta ila wanavutia washing room
Umenikumbusha mbali sana mkuu.
Kuna siku mi na nako wangu tuligonga bia tukashushia kibuku tuka top up na ile kitu. sitakaa nisahau.
 
Haaaaa tena weweeeeee...jirani huwezi amini hata huu mwandiko wako unanukia chang'aa na balimi.

Swali linaloniumiza kichwa ni kwamba kumbe hata huko zipo.
[emoji28] hapo umetia chumvi jirani nakunywa ila not to zet eksitent... pulizzz gim burek
 
Nmefanyaje tena mama?
Hujafanya kitu swahiba. Tulikuwa tunaulizana kulikoni wapita kimya kimya pasi kutia neno.

Kwani swahiba huwa unatumia hii kitu. [emoji87] [emoji87]
 
Back
Top Bottom