Je ni kweli hili suala?

Je ni kweli hili suala?

mzambia

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
887
Reaction score
63
Jamani naombeni nianze moja kwa moja kwenye mada, maana kuna sehemu nilikuwa napata moja moto moja baridi sasa mwenzangu mmoja baada ya kukolewa na maji akatoa kauli hii "hapa ni kunywa na kukojoa ila heshimu nyege tu, maana bila nyege usingezaliwa wewe" JE KUNA UKWELI HAPA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliapa na Mungu wangu nisaidie kutimiza kiapo changu siku zote za maisha yangu yalio baki hapa duniani kuwa katika kinywa changu kitu kinachoitwa kilevi iwe pombe ama sigara kisiguse hadi naingia kaburini.
 
Mama yangu weeeeee...jamani nilikuwa nakutafuta siku nyingi ujue.haleluya!!hahahahaha
 
Jirani sidhani kama huyu mwenye kauli yake anajijua kwamba yeye ni Tanzanite!!
Hawezi kujua aisee sis watu wa Mungu tunawatafuta hawa

Ila isije kua ndo hagusi lakn upande mwingine ndo mwenyew
 
Back
Top Bottom