Ni kweli Times walitoa ripoti lakin unadhan kwa wakati huo ndani ya Times kulikuwa na Wazungu tupu!??? Na kingine umeona tofauti ya kimiaka ya kuanza unyama huu mpaka kuripotiwa???
Kuna ukatili ambao Mzungu anafanya na anaweza kupewa support na mwenzake lakini pia anaweza asipate support.
Django nimeshuhudia hii kitu mkuusuala la Times kuwa na wazungu tupu,wewe unayesema ndio ilibidi uje na ushahidi kuonyesha kwamba walioandika hawakuwa wazungu au race nyingine bali ni waafrica
unaposema tofauti ya miaka sijakuelewa unataka kumaanisha nini? kwamba kwa vile imechelewa ndio kusema hata kama kasema mzungu bado na yeye ataingia kwenye kundi mmoja na hao watu waliokuwa wanawatesa waafrika
haya ni mambo ya kimfumo wa kijamii, tokea dunia ianze kuna mabadiliko mengi sana yanayotokea either kwa kupangwa au nyenyewe tu automatical ukisoma kitabu cha A History of Psychology:From Antiquity To Modernity cha Thomas Hardy Leahey utajifunza na kugundua mambo mengi sana na jinsi binadamu anavyobadilika kwa kasi kimtazamo na kimawazo
kitu unachoshindwa kugundua ni kwamba mwafrika alikuwa ni bidhaa na hata yeye aliamini hivyo kwa kufundishwa na kuaminishwa na jambo hili halikutokea bahati mbaya bali kulikuwa na series of events mpaka ikafikia hivyo so ni sawa na leo hii tunavyowatukana mashoga (mimi siwasapoti) kwa sababu tunajua na tunaamini ni kinyume na maadili yetu vivo hivo hata sisi weusi katika jamii za kidunia tulionekana sio watu bali ni bidhaa
kupitia movie kama Twelve years a slave na Django unchained unawezakuona kitu
Ila lugha yao unaipenda na inakutambulisha kama msomi. Wazungu ni watu hatari sana na wanamiliki 78% uwezo wa akili wa mwafrika. Katiba imeandikwa kwa lugha ya kiingereza, elimu ipo kwenye mfumo wa mzungu. Historia ya Tanganyika utakuta mzungu ndiyo kaandika. Wafrika inabidi tuchapwe viboko kabisa tena za kichwani . Hii lugha ya Kiswahili mpaka sasa ilisanifishwa na waingereza ndiyo maana kuna maneno bado yanaleta utata juu ya utamkaji na uandikaji wake. Mfano wa maneno kama mbu (ukitamka linasomeka hivi umbu) pia neno nge (inge).We have all the reasons to hate this race
Nafikiri sisi ndiyo kutu na tukapakwa rangi nyeusi.Wazungu ni kutu iliyopakwa rangi na kupewa uhai....
Wafrika walikuwa na hiari ya kukataa. Unapewa hela, unatoa mtoto hizo ni akili hata kama umelazimishwa? Pigana, tengeneza silaha za kijadi. Wangetengeneza jeshi la jadi kama la Chief Mkwawa wakaanza kuzichapa.Mgg3,
Hapo kila mtu aangalie wapi wazungu ni kutu au wenye akili.
Waafrika walilazimishwa mambo hayo Hata kuuza watoto ilikuwa kwa nguvu
Kama kweli Mungu yupo, basi tunaitaji sana huruma yake.Wakati huo walikuwa hawajui kuandika wala kusoma!!! Mkataba unasomeka kwa lugha ya kiingereza yaani hapo anakubali lakini haelewi mtoto anakwenda wapi kufanyiwa nini!!!
Kipindi hicho una uhakika Waafrika walikuwa na haji ya kukataa kitu wakati unamilikiwa na mzungu..... Pia hata wakati huo Waafrika wa huko America walijiona duni hawakuwa na ideas za kina mkwawa... Halafu kitu kingine uelewe tu je kuanzia miaka ya 1900 ni vita ipi ya Waafrika iliyoshinda dhidi ya mkoloni?? Mkwawa ilikuwa ni 1800 mkuu.Wafrika walikuwa na hiari ya kukataa. Unapewa hela, unatoa mtoto hizo ni akili hata kama umelazimishwa? Pigana, tengeneza silaha za kijadi. Wangetengeneza jeshi la jadi kama la Chief Mkwawa wakaanza kuzichapa.
Kwa hivyo kuendana na kauli hii yako ilikuwa ni haki Waafrika hawa kupitia kadhia hii.... Na pia mpaka sasa ni haki pia kwa Waafrika kuendelea kukandamizwa na mzungu....Ila lugha yao unaipenda na inakutambulisha kama msomi. Wazungu ni watu hatari sana na wanamiliki 78% uwezo wa akili wa mwafrika. Katiba imeandikwa kwa lugha ya kiingereza, elimu ipo kwenye mfumo wa mzungu. Historia ya Tanganyika utakuta mzungu ndiyo kaandika. Wafrika inabidi tuchapwe viboko kabisa tena za kichwani . Hii lugha ya Kiswahili mpaka sasa ilisanifishwa na waingereza ndiyo maana kuna maneno bado yanaleta utata juu ya utamkaji na uandikaji wake. Mfano wa maneno kama mbu (ukitamka linasomeka hivi umbu) pia neno nge (inge).
Fishing industries in Norway.
Ni sawa ila huwa nashangaa sana. Mzungu mmoja anaswaga wanaume 2000 wa kiafrika. Hata sitaki kuamini aisee. Halafu wanasema Afrika kuna uchawi, kwanini walishindwa kuwaroga wazungu? Wafrika sisi wajinga ingawa tuna raslimali nyingi lakini tumebaki maskini mpaka tunatia huruma. Hivi nchi za kiafrika zingekuwa middle east kwenye majangwa huko, situngekufa wote.Kipindi hicho una uhakika Waafrika walikuwa na haji ya kukataa kitu wakati unamilikiwa na mzungu..... Pia hata wakati huo Waafrika wa huko America walijiona duni hawakuwa na ideas za kina mkwawa... Halafu kitu kingine uelewe tu je kuanzia miaka ya 1900 ni vita ipi ya Waafrika iliyoshinda dhidi ya mkoloni?? Mkwawa ilikuwa ni 1800 mkuu.
Sasa tunajivunia nini wakati elimu yenyewe tunatumia ya mkoloni? Wewe unasoma fishing industry in Norway kwenye Geograph bora hata ingekuwa kwenye history.Kwa hivyo kuendana na kauli hii yako ilikuwa ni haki Waafrika hawa kupitia kadhia hii.... Na pia mpaka sasa ni haki pia kwa Waafrika kuendelea kukandamizwa na mzungu....
Pia kama unafikiria hivi na una Damu ya Kiafrika basi hakuna cha kujivunia.....
Mwenye mtaala wa elimu yetu ni mzungu unafikiri angeandika nini? Mzungu kajiweka kwenye nafasi nzuri ya yeye ndiye alikomesha slave trade....history ya Leo tunayofundishwa mashuleni ni waarabu ndo walikuwa makatili...ndo mana naichukia sana elimu ya afrika ni kumezeshana tujaze matumbo hasa hya mambo ya history...