Je, ni kwanini Waafrika hatuna undugu na Wazungu?

Lakini mkuu
Eeeee jamani mbona shida au tutafute wanasheria tudai fidia ya mamillion ya Dola? Mbona Wazee Kenya wanataka kudai fidia ya aridhi yao kwa Waingereza-UK maana waliichukua wakalima Chai maana kuna rutuba sana.
Usisahau kuna Waafrika wachache wanatetea wazungu kuwa ilikuwa ni haki yetu kupitia hatua hizi.. Poor Africans
 
Uko sahihi mkuu, Mwafrica atabaki kuwa mwafrica tuu, nimeipenda hii, hata sisi tulikuwa kwenye peak kipindi kirefu sana. Huko Levant, Ancient Egypt, Babylony, na tulifanya makubwa ya kushangaza Dunia mpaka leo, na tuna mchango mkubwa sana Duniani hilo halipingiki. wao walijifunza kutoka kwetu, Misri ya kale ilikuwa kama unavoona watu, wanakimbilia USA,Canada nk,
Kuoa Mweusi ilikuwa ni ujiko kwa wazungu miaka hiyo, Kiongozi wao Alexander the great alilazimisha wa Greec kuoa weusi, wenye akili. masalia ya watu wa kizazi hiki wapo mpaka leo.

Uzi mzuri kuwa mrefu ndo vizuri, tunafunguana akili hatupigani marungu, na kuburudishana, lete tuu tutasoma. funguka.
Watumwa weusi kwenye mashamba ya Pamba, Miwa nk, hasa kwenye majimbo ya Southern USA walizichapa kisawasawa wakawaua slave masters wazungu ni si kitoto, zaidi pia waligoma kufanya kazi, wengine kwenye Meli walizichapa humohumo, wengine walikufa wengine walifanikiwa hata uki google tu utaona mambo yalivo kuwa.
Makanisa yaliwekwa kwa madaraja weupe kivyao weusi kivyao hawakutaka kujichanganya na Blacks

Lakini weusi walisali makanisani kwao kwa kuendeleza harakati za mapambano ya kujikomboa,kujitambua pia Black Emancipations. weupe kama kawaida yao wakaanza ku linda makanisa wakati wa sala. Kukomesha Biashara ya watumwa kuliambana na vita pia migomo.
unanikumbusha kuntakinte
 
Naomba uweke ukatili au kitendo cha ukatili ambacho Wazungu walifanyiwa na Waafrika....
Nitashukuru sana mkuu
mogadishu.jpg
tena uchi wa mnyama wakifurahia, wanawake na watoto
 
Naomba uweke ukatili au kitendo cha ukatili ambacho Wazungu walifanyiwa na Waafrika....
Nitashukuru sana mkuu
watson_1435-jpg.jpeg
Hapa wanamkanyaga tumboni maskini mzungu, jamani weee! Africa? walahi Africa mngekuwa na uwezo kupita wazungu mngewafutilia kwa mbali Duniani. mngewaona ni mazeruzeru tu. wawafanyeje sasa kama mko hivo? hata wenyewe tu hampendani.
 
Hapo jirani yalitokea haya,
idi-amin1.jpg
Babu aliwabeba na nyie mnibebe leo, hii issue sijui alianza anzaje kuwashawishi, au walitaka wenyewe kumbeba huyu dogo, hebu mtujuze wataalamu.
 
Kwa hivyo kuendana na kauli hii yako ilikuwa ni haki Waafrika hawa kupitia kadhia hii.... Na pia mpaka sasa ni haki pia kwa Waafrika kuendelea kukandamizwa na mzungu....
Pia kama unafikiria hivi na una Damu ya Kiafrika basi hakuna cha kujivunia.....
Ushindi mzuri ktk mapambano hutanguliwa na kafara ya Damu. (kichapo tu) bila hiyo hatua utakandamizwa tu na kupuuzwa!
 
Umenishtua sana ingawa nawajua wasomali hawana masihara na mtu.. Waliwahi kuingia kijiji fulani cha wamasaai wakafanya ujinga balaa....
Daah binadamu hakika hatuna huruma...
Lakini mkuu kwanini unasema kuwa suluhisho ni damu imwangike mzee????
 
Umenishtua sana ingawa nawajua wasomali hawana masihara na mtu.. Waliwahi kuingia kijiji fulani cha wamasaai wakafanya ujinga balaa....
Daah binadamu hakika hatuna huruma...
Lakini mkuu kwanini unasema kuwa suluhisho ni damu imwangike mzee????
Hii ni sheria ya Historia Duniani Mkuu, siyo maneno wala propaganda, kuna msemo mmoja JKT unasema hivi; Ukitaka amani jiandae kwa vita.

Mfano; Wakoloni wasingeachia nchi kwa kuwa bembeleza, Makaburu wasinge komesha ubaguzi bila Omkhonto we Sizwe, au Frontline state.
 
Leta hoja mkuu ila isimamie kwenye suala hili.
1. Ni sehemu ipi Africa Wazungu walikuwa chambo ya kuwinda mamba!???
2. Makala zilizoripoti kuhusu ukatili huo juu!!
Nitashukuru sana ukileta majibu ya hoja hizi!!!!
 
Dhana ya ukatili ni kwa race zote si weusi si weupe pia dhana ya wema ni kwa race zote pia.Hao vikongwe wanaouwawa kwa mapanga kwa dhana ya uchawi ni ulaya,vipi kuhusu kuuwawa kwa malbino,kafara za ajali na migodini,vipi wanachama vya baadhi ya vyama kuuuwawa na kukatwa mapanga,vipi wasioujulikana kuwateka watu kisha kuwalawiti kisha kuwaweka kwenye viroba na kuwatupa kama mizoga,vipi madhila wafanyiwao madada wa kazi majumbani.Ukatili ufanywa na race yeyeto ya watu wasioelimika na kustaarabika duniani.
 
Umeelewa nilichokuomba mkuu???
Umedai kuwa hata sisi ni wakatili mm nikaomba japo ushahidi Wa sehemu mzungu alichukuliwa mtoto wake na kwenda kufanywa chambo na waafrika????
 
Uliyemwambia ni mtumwine mimi nilikuwa naweka sawa jamvi. Pole sana
Umeelewa nilichokuomba mkuu???
Umedai kuwa hata sisi ni wakatili mm nikaomba japo ushahidi Wa sehemu mzungu alichukuliwa mtoto wake na kwenda kufanywa chambo na waafrika????
 
Back
Top Bottom