Wazungu walikataza HIRIZI za WAAFRIKA na kuwapa biblia ili kuwadhoofisha

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Nov 30, 2022
607
553
HIRIZI walizovaa WAAFRIKA zilikuwa na nguvu kuliko biblia ndiyo maana wazungu wakawakaza Waafrika wasizivae kwani zilikuwa KINGA ya kweli kuuzuia ukoloni.

Kikubwa walichofanya wazungu ni kuhujumu UMOJA wa Waafrika kwa kuwalaghai wafuasi wa viongozi wa Kiafrika kwa ahadi za uongo na zawadi kisha kutoa siri za nguvu za HIRIZI na kuuwawa kitu kilichoondoa imani ya Waafrika kwa viongozi wao.

Kama kweli biblia ni silaha ya kweli kwanini waisraeli wasiitumie kujikinga au kuwaondoa WAPALESTINA walio na HAKI na ardhi yao?

DINI ZA KIAFRIKA zilikuwa na nguvu kuliko ukristu na uislam yapaswa tuzirejelee kwa ustawi wetu hivyo HIRIZI zina nguvu kuliko biblia na msahafu tukizitumia vizuri.
 
Hakujawahi kua na Mungu mkuu, kabla na baada ya wazungu/waarabu kuja

Vitu ambavyo vilionekana maajabu ya Mungu zamani saivi vinaelezeka kirahisi tu.

Acha uvivu wa fikra.
Kwahiyo watu wote waliokuwepo kabla ya wazungu/waarabu kufika Afrika walikuwa ni mawe na hawakuumbwa na mungu?

Kati yangu na wewe ni nani ambaye anauvivu wa kufikiri hadi hapo?

Kwavile uislam na ukristu uliletwa na watu weupe na kuingizwa ndani ya akili za mababu zako waliohofu na kushindwa kusimamia ASILI ma UTU WAO wao na wewe kurithi ujinga huo na kuuamini basi hutaki kubadilika na kujiongeza tena.

Kilichobaki ni waafrika wajinga kama wewe mnao amini kuoa wake wengi kwa Waafrika kama utamaduni wao ni dhambi ila kufirana kwa wazungu na waarabu kama utamaduni wa wao ni sawa.

SHIT HOLES!!
 
Hakuna Mungu, hajawahi kuwepo, hatokaa awepo.

Chanzo cha ulimwengu hakijulikani....

Miungu ni taswira za kibinadamu sana, hazina mashiko.
 
Hakujawahi kua na Mungu mkuu, kabla na baada ya wazungu/waarabu kuja

Vitu ambavyo vilionekana maajabu ya Mungu zamani saivi vinaelezeka kirahisi tu.

Acha uvivu wa fikra.
Nyie born 2000s hamuwezi kuelewa haya mambo, mababu zetu walikuwa na Mungu wao waliyekuwa wanamuomba na alikuwa anajibu on time.

Enzi izo miaka y 80s, kwetu kuna eneo la kufanya maombi maalumu. Kila mwaka watu walikuwa wanaenda kuombea mvua na mavuno yawe ya kutosha na kweli inakuwa hivyo.

Yani ilikuwa wakienda kuomba mvua inyeshe inanyesha kweli. Na inanyesha hata kabla hawajafika nyumbani.
 
Ninasema hivi, Mungu ni taswira amabayo binadamu anaivika uhusika na kuitumia kujifariji pale ambapo fikra zake unapoishia....

Hao mababu zako, kila tamaduni/kundi/kabila walikua na Mungu wao. Walimpa sifa ambazo ziliendana na tamaduni zao, sijui unanielewa?

Hata miungu ya sasa Yahweh na Allah, ukiwachunguza wanaendana na tamadauni za walipotokea/machimbuko yao... Kila Mungu ana kanda yake.

Lakini kanuni za sayansi hazina kanda.

Na wewe ulivyo mnafki una uelewa wa hili kwa kiasi flani ila ni muoga huwezi kuachana na hizo dini za wageni, potelea pote za babu zako.
 
HIRIZI walizovaa WAAFRIKA zilikuwa na nguvu kuliko biblia ndiyo maana wazungu wakawakaza Waafrika wasizivae kwani zilikuwa KINGA ya kweli kuuzuia ukoloni.

Kikubwa walichofanya wazungu ni kuhujumu UMOJA wa Waafrika kwa kuwalaghai wafuasi wa viongozi wa Kiafrika kwa ahadi za uongo na zawadi kisha kutoa siri za nguvu za HIRIZI na kuuwawa kitu kilichoondoa imani ya Waafrika kwa viongozi wao.

Kama kweli biblia ni silaha ya kweli kwanini waisraeli wasiitumie kujikinga au kuwaondoa WAPALESTINA walio na HAKI na ardhi yao?

DINI ZA KIAFRIKA zilikuwa na nguvu kuliko ukristu na uislam yapaswa tuzirejelee kwa ustawi wetu hivyo HIRIZI zina nguvu kuliko biblia na msahafu tukizitumia vizuri.
Si Ukristu wala Uislam ni dini za ukweli kwetu sisi Waafrika. Zile ni dini za mchongo zisizo na maana kwetu.
 
Hirizi hazimuwezi mzungu.

Waafrika walitumia hirizi vitani wakanyooshwa.

Hirizi zilishindwa kuzuia wakoloni kutawala
Ambacho hujui ni historia yako na mbinu walizotumia wazungu kuwangamiza WAAFRIKA kama vile kununua SIRI za mazindiko ya Waafrika uliopelekea KUSALITIANA na kutoa siri ya nguvu na uwezo wa Waafrika.

KUSALITIANA ndiyo chanzo cha hirizi za Waafrika kushindwa hata wazungu wanaongoza kwa usiri ndiyo maana hadi leo hakuna Mwafrika aliyewahi kumnunua mzungu akatoa siri zao kwani ni wasiri hata wao kwa wao.

Soma hapa chini utaelewa:-
2023_11_16_15.22.49_edit.jpg
2023_11_16_15.23.08_edit.jpg
2023_11_16_15.23.26_edit.jpg
2023_11_16_15.23.38_edit.jpg
 
Attachments

  • 2023_11_16_15.23.38_edit.jpg
    2023_11_16_15.23.38_edit.jpg
    148.5 KB · Views: 4
Kila mtu ana baba na mama lakini hao wote ni lazima wanachimbuko lao au nguvu iliyowaleta duniani.

Huwezi kuniaminisha kuwa hakina MUNGU wakati naona kabisa dunia nzima inatambua kuwa kuna nguvu iliyowaleta duniani na kuweka maajabu mbalimbali ikiwemo viumbe vyenye jinsia mbili tofauti na vilivyo hai na visivyohai.

Hiyo nguvu ya uabudu kwa kila jamii au watu na hofu waliyo nayo ndicho kinachoweka wazi kuwa MUNGU na ni mmoja kwani maeneo yoooye duniani yana viumbe vinavyofanana na vyenye jinsia mbili tofauti na siyo zaidi na kuna vilivyo hai na visivyo hai i.e mawe,mchanga,n.k.

Mfano huu unadhihirisha nguvu na hofu ni moja iliyotumika kuviweka duniani pasipo kujari rangi na lugja zao.

Kwa mtu kama wewe unayeshindwa hata kufikiri kwanini upo duniani na je uliibuka tu au kwanini unazaliwa au kutokana na shahawa na manii au kwanini unatokana na sex na viumbe wote wanatokana na sex na wanafanya pasipo kuingia darasani

Hadi hapo kwa mfanano uliopo wa viumbe hai na visivyohai na matendo yao kwa kuzaliana kote duniani bali kuna nguvu au asili moja iliyowaleta duniani nayo ni MUNGU.
 
Hirizi hazimuwezi mzungu.

Waafrika walitumia hirizi vitani wakanyooshwa.

Hirizi zilishindwa kuzuia wakoloni kutawala
Wazungu wamepambana sana na wachawi na uchawi, kwa karibia miaka 300, unadhani africa ndio pekee ina hizi tamaduni? By the time wanakuja kutawala huko walishajua namna ya ku suppress

Leo hii ukiambiwa kuna hazina ya wakoloni walizihold kwa uchawi utakataa? Na hii siyo Tanzania hato huko ulaya na asia
 
HIRIZI walizovaa WAAFRIKA zilikuwa na nguvu kuliko biblia ndiyo maana wazungu wakawakaza Waafrika wasizivae kwani zilikuwa KINGA ya kweli kuuzuia ukoloni.

Kikubwa walichofanya wazungu ni kuhujumu UMOJA wa Waafrika kwa kuwalaghai wafuasi wa viongozi wa Kiafrika kwa ahadi za uongo na zawadi kisha kutoa siri za nguvu za HIRIZI na kuuwawa kitu kilichoondoa imani ya Waafrika kwa viongozi wao.

Kama kweli biblia ni silaha ya kweli kwanini waisraeli wasiitumie kujikinga au kuwaondoa WAPALESTINA walio na HAKI na ardhi yao?

DINI ZA KIAFRIKA zilikuwa na nguvu kuliko ukristu na uislam yapaswa tuzirejelee kwa ustawi wetu hivyo HIRIZI zina nguvu kuliko biblia na msahafu tukizitumia vizuri.
Tofautisha HIRIZI(TALISMAN/AMULET) na dini za kiafrika za matambiko, hirizi ni uchawi na dini za kiafrika siyo uchawi, hata Ulaya na Uarabuni hirizi zipo hadi leo, dini za kiafrika zimejikita ktk matambiko/ibada za kuchinja wanyama na kusali(offerings and prayers) hirizi ni uchawi zaidi.
 
Kila mtu ana baba na mama lakini hao wote ni lazima wanachimbuko lao au nguvu iliyowaleta duniani.

Huwezi kuniaminisha kuwa hakina MUNGU wakati naona kabisa dunia nzima inatambua kuwa kuna nguvu iliyowaleta duniani na kuweka maajabu mbalimbali ikiwemo viumbe vyenye jinsia mbili tofauti na vilivyo hai na visivyohai.

Hiyo nguvu ya uabudu kwa kila jamii au watu na hofu waliyo nayo ndicho kinachoweka wazi kuwa MUNGU na ni mmoja kwani maeneo yoooye duniani yana viumbe vinavyofanana na vyenye jinsia mbili tofauti na siyo zaidi na kuna vilivyo hai na visivyo hai i.e mawe,mchanga,n.k.

Mfano huu unadhihirisha nguvu na hofu ni moja iliyotumika kuviweka duniani pasipo kujari rangi na lugja zao.

Kwa mtu kama wewe unayeshindwa hata kufikiri kwanini upo duniani na je uliibuka tu au kwanini unazaliwa au kutokana na shahawa na manii au kwanini unatokana na sex na viumbe wote wanatokana na sex na wanafanya pasipo kuingia darasani

Hadi hapo kwa mfanano uliopo wa viumbe hai na visivyohai na matendo yao kwa kuzaliana kote duniani bali kuna nguvu au asili moja iliyowaleta duniani nayo ni MUNGU.
Unapoteza nguvu zako tu. Hawa vijana Bure kabisa. Usikute kapata kielim huko na kaela anaona hakuna Mungu. Ngoja yamkute atajifunza tu🤣
 
Hirizi hazimuwezi mzungu.

Waafrika walitumia hirizi vitani wakanyooshwa.

Hirizi zilishindwa kuzuia wakoloni kutawala
Zikashindwa kuzuia risasi na kuzigeuza kuwa maji. Pia zilishindwa kuzuia babu zao kupelekwa utumwani. Zilishindwa kiwasaidia kuvumbua vitu hata kutengeneza vyoo walishindwa wakawa wanakunya porini na kutawaza kwa magunzi, majani na kusugua makalio kwenye michanga na Kokoto. Pumbavu kabisa mleta uzi. Vaa hirizi zako hata sasa, kwani nani kakukataza. Mbona unavaa shanga kiunoni?
 
Unapoteza nguvu zako tu. Hawa vijana Bure kabisa. Usikute kapata kielim huko na kaela anaona hakuna Mungu. Ngoja yamkute atajifunza tu🤣
Hana elimu wala pesa yoyote huyo mshamba_hachekwi ni katoto ka 2000's na kamwanafunzi kapo vyuo vya kata pale Mbeya. Ni kakijana kanacho kuwa kwa sasa na kanatinda nyusi na kupaka sijui nini zile nyeusi kwenye nyusi zake huku kanajiramba midomo kama kademu. Kasharobaro kalishaweka picha zake kwenye uzi ule wa selfika wa mshana.

Kutokana na umri wake, kanafuata mkumbo wa wadau tu ila hohe hahe mmoja tu. Hana mbele wala nyuma, hana elimu na hana pesa. Kusoma certificate pale Mbeya either MUST au TIA nako ni kuwa na Elimu?
 
Nilikuwa nachek umejoin lini jf nimeona huoaswi hata kujibiwa chochote. Nyie vitoto vya miaka ya 2000 mna shida sana na ujinga mwingi kichwani
Jibu hoja , Mkuu mbona unakasirika na huyo Mungu wako katulia tu , wewe unaamni yupo na sie tunajua hayupo nahajawahi kuwepo , kila mtu anauhuru wa kufikiri vile anavyoona pasipo kuvunja sheria za nchi.
 
Hana elimu wala pesa yoyote huyo mshamba_hachekwi ni katoto ka 2000's na kamwanafunzi kapo vyuo vya kata pale Mbeya. Ni kakijana kanacho kuwa kwa sasa na kanatinda nyusi na kupaka sijui nini zile nyeusi kwenye nyusi zake huku kanajiramba midomo kama kademu. Kasharobaro kalishaweka picha zake kwenye uzi ule wa selfika wa mshana.

Kutokana na umri wake, kanafuata mkumbo wa wadau tu ila hohe hahe mmoja tu. Hana mbele wala nyuma, hana elimu na hana pesa. Kusoma certificate pale Mbeya either MUST au TIA nako ni kuwa na Elimu?
Mbona umetoka povu lote hili yeye kasema hakuna Mungu wewe inakuuma nini kama unajua yupo kweli?

Ni sawa atokee mtu aseme Mr Melo hayupo then wewe ukasirike wakati unajua kabisa yupo na udhibitisho upo wazi kabisa.

Hasira zako zinaonyesha kabisa imani uliyonayo una mashaka nayo .

Unaogopa pini za jamaa zitakuteteresha kiimani , kwa sababu kuna upande wa akili yako unaona ukwel wa haya mambo yana mashaka mengi .
 
Ho
Jibu hoja , Mkuu mbona unakasirika na huyo Mungu wako katulia tu , wewe unaamni yupo na sie tunajua hayupo nahajawahi kuwepo , kila mtu anauhuru wa kufikiri vile anavyoona pasipo kuvunja sheria za nchi.
Hoja ipi nikujibu wew? Hapo ulipoandika umejiona umeandika hoja? Nyie watoto vipi🤣.. Yan unataka tutoa hoja wakati umeandika rubbish. Yan unataka tu tuanze kubishana na kukomazana mafuvu kisa maoni Yako. We hapo umetoa maoni tu ila huna hoja
 
Back
Top Bottom