Je, ni kwanini Waafrika hatuna undugu na Wazungu?

We kwani kabla ya dini kulikua na Nini?? Nimejizuia. Msomi mweu ww , unakikataa kitu unacho kiona mpaka leo. Mpaka Leo upo utumwani ww. Ume nichukiza kweli
Ni kweli mku wanakutoa kwenye maada yako. Lakini kama sio PHOTOSHOP basi ni kosa kubwa. siku hizi picha zinatengenezwa tusije kuchuma dhambi bure kwa kuwakasirikia wazungu bila sababu. Kizuri tu nachojua walituletea ni Dini na Vitabu kama Biblia maana sipati picha kama tungekuwa hatuna Dini na kusoma vitabu vitakatifu ingekuwaje huko mitaani kwetu?
 
Binadamu wote ni katili na violent, inategemea nguvu walizo nazo, maslahi, wakati, hali ya akili n.k
 
Back
Top Bottom