Je, ni kwanini Waafrika hatuna undugu na Wazungu?

Ni kweli Times walitoa ripoti lakin unadhan kwa wakati huo ndani ya Times kulikuwa na Wazungu tupu!??? Na kingine umeona tofauti ya kimiaka ya kuanza unyama huu mpaka kuripotiwa???
Kuna ukatili ambao Mzungu anafanya na anaweza kupewa support na mwenzake lakini pia anaweza asipate support.

suala la Times kuwa na wazungu tupu,wewe unayesema ndio ilibidi uje na ushahidi kuonyesha kwamba walioandika hawakuwa wazungu au race nyingine bali ni waafrica

unaposema tofauti ya miaka sijakuelewa unataka kumaanisha nini? kwamba kwa vile imechelewa ndio kusema hata kama kasema mzungu bado na yeye ataingia kwenye kundi mmoja na hao watu waliokuwa wanawatesa waafrika

haya ni mambo ya kimfumo wa kijamii, tokea dunia ianze kuna mabadiliko mengi sana yanayotokea either kwa kupangwa au nyenyewe tu automatical ukisoma kitabu cha A History of Psychology:From Antiquity To Modernity cha Thomas Hardy Leahey utajifunza na kugundua mambo mengi sana na jinsi binadamu anavyobadilika kwa kasi kimtazamo na kimawazo

kitu unachoshindwa kugundua ni kwamba mwafrika alikuwa ni bidhaa na hata yeye aliamini hivyo kwa kufundishwa na kuaminishwa na jambo hili halikutokea bahati mbaya bali kulikuwa na series of events mpaka ikafikia hivyo so ni sawa na leo hii tunavyowatukana mashoga (mimi siwasapoti) kwa sababu tunajua na tunaamini ni kinyume na maadili yetu vivo hivo hata sisi weusi katika jamii za kidunia tulionekana sio watu bali ni bidhaa

kupitia movie kama Twelve years a slave na Django unchained unawezakuona kitu
 
Django nimeshuhudia hii kitu mkuu
Asante sana kwa nondo
 
We have all the reasons to hate this race
Ila lugha yao unaipenda na inakutambulisha kama msomi. Wazungu ni watu hatari sana na wanamiliki 78% uwezo wa akili wa mwafrika. Katiba imeandikwa kwa lugha ya kiingereza, elimu ipo kwenye mfumo wa mzungu. Historia ya Tanganyika utakuta mzungu ndiyo kaandika. Wafrika inabidi tuchapwe viboko kabisa tena za kichwani . Hii lugha ya Kiswahili mpaka sasa ilisanifishwa na waingereza ndiyo maana kuna maneno bado yanaleta utata juu ya utamkaji na uandikaji wake. Mfano wa maneno kama mbu (ukitamka linasomeka hivi umbu) pia neno nge (inge).
Fishing industries in Norway.
 
Wazungu ni kutu iliyopakwa rangi na kupewa uhai....
Nafikiri sisi ndiyo kutu na tukapakwa rangi nyeusi.
Wewe unamuuzaje mtoto wako uliyemzaa kwa hela kidogo?
Wazungu 5 wanawatawala wafrika 2000, hii inakuja hata kwa akili ya kawaida?. Kipindi cha slave trade, warabu na wazungu walikuwa wanajichukulia wafrika utafikiri wanakamata kumbikumbi. Miaka hiyo wenzetu wanakamata mamba kwa ajili ya kutengenezea mikoti, mikoba n.k Sisi tulikuwa tunafanya nini? Siyo kama nawasapoti wazungu hapana ila naonyesha ujinga wa mwafrika ulipo. Sasa hivi tunatumia majina ya kizungu na dini zao. Katika Race ya kijinga ni wafrika. Angalia china, india wanatumia majina yao kama Kumar na wanaabudu katika dini zao za bhuda.
 
...history ya Leo tunayofundishwa mashuleni ni waarabu ndo walikuwa makatili...ndo mana naichukia sana elimu ya afrika ni kumezeshana tujaze matumbo hasa hya mambo ya history...
 
Mgg3,

Hapo kila mtu aangalie wapi wazungu ni kutu au wenye akili.

Waafrika walilazimishwa mambo hayo Hata kuuza watoto ilikuwa kwa nguvu
 
Wafrika walikuwa na hiari ya kukataa. Unapewa hela, unatoa mtoto hizo ni akili hata kama umelazimishwa? Pigana, tengeneza silaha za kijadi. Wangetengeneza jeshi la jadi kama la Chief Mkwawa wakaanza kuzichapa.
 
Wakati huo walikuwa hawajui kuandika wala kusoma!!! Mkataba unasomeka kwa lugha ya kiingereza yaani hapo anakubali lakini haelewi mtoto anakwenda wapi kufanyiwa nini!!!
Kama kweli Mungu yupo, basi tunaitaji sana huruma yake.
 
Kuendelea kufikiria haya mambo haisadii kitu tunaishia kujenga chuki na kuzidi kujiona duni tu maana hatuchukulii kuwa ni mambo yaliyopita huko bali hujiona bado tuko duni vilevile,haya masuala ya utumwa na kufanyiwa ukatili hatukufanyiwa sisi tu peke yetu jamii ya kiafrika bali yamefinyika na kwa jamii zengine pia.
 
Inaweza kuwa kweli ama isiwe kweli,pia kipindi hicho binadamu wengi walikuwa bado kustaarabika.
 
Wafrika walikuwa na hiari ya kukataa. Unapewa hela, unatoa mtoto hizo ni akili hata kama umelazimishwa? Pigana, tengeneza silaha za kijadi. Wangetengeneza jeshi la jadi kama la Chief Mkwawa wakaanza kuzichapa.
Kipindi hicho una uhakika Waafrika walikuwa na haji ya kukataa kitu wakati unamilikiwa na mzungu..... Pia hata wakati huo Waafrika wa huko America walijiona duni hawakuwa na ideas za kina mkwawa... Halafu kitu kingine uelewe tu je kuanzia miaka ya 1900 ni vita ipi ya Waafrika iliyoshinda dhidi ya mkoloni?? Mkwawa ilikuwa ni 1800 mkuu.
 
Ila lugha yao unaipenda na inakutambulisha kama msomi. Wazungu ni watu hatari sana na wanamiliki 78% uwezo wa akili wa mwafrika. Katiba imeandikwa kwa lugha ya kiingereza, elimu ipo kwenye mfumo wa mzungu. Historia ya Tanganyika utakuta mzungu ndiyo kaandika. Wafrika inabidi tuchapwe viboko kabisa tena za kichwani . Hii lugha ya Kiswahili mpaka sasa ilisanifishwa na waingereza ndiyo maana kuna maneno bado yanaleta utata juu ya utamkaji na uandikaji wake. Mfano wa maneno kama mbu (ukitamka linasomeka hivi umbu) pia neno nge (inge).
Fishing industries in Norway.
Kwa hivyo kuendana na kauli hii yako ilikuwa ni haki Waafrika hawa kupitia kadhia hii.... Na pia mpaka sasa ni haki pia kwa Waafrika kuendelea kukandamizwa na mzungu....
Pia kama unafikiria hivi na una Damu ya Kiafrika basi hakuna cha kujivunia.....
 
Kipindi hicho una uhakika Waafrika walikuwa na haji ya kukataa kitu wakati unamilikiwa na mzungu..... Pia hata wakati huo Waafrika wa huko America walijiona duni hawakuwa na ideas za kina mkwawa... Halafu kitu kingine uelewe tu je kuanzia miaka ya 1900 ni vita ipi ya Waafrika iliyoshinda dhidi ya mkoloni?? Mkwawa ilikuwa ni 1800 mkuu.
Ni sawa ila huwa nashangaa sana. Mzungu mmoja anaswaga wanaume 2000 wa kiafrika. Hata sitaki kuamini aisee. Halafu wanasema Afrika kuna uchawi, kwanini walishindwa kuwaroga wazungu? Wafrika sisi wajinga ingawa tuna raslimali nyingi lakini tumebaki maskini mpaka tunatia huruma. Hivi nchi za kiafrika zingekuwa middle east kwenye majangwa huko, situngekufa wote.
Pigana mpaka pumzi ya mwisho kama mavietnam vile
 
Kwa hivyo kuendana na kauli hii yako ilikuwa ni haki Waafrika hawa kupitia kadhia hii.... Na pia mpaka sasa ni haki pia kwa Waafrika kuendelea kukandamizwa na mzungu....
Pia kama unafikiria hivi na una Damu ya Kiafrika basi hakuna cha kujivunia.....
Sasa tunajivunia nini wakati elimu yenyewe tunatumia ya mkoloni? Wewe unasoma fishing industry in Norway kwenye Geograph bora hata ingekuwa kwenye history.
 
Historia ya Mwafrica tumefichwa mengi Sana tatizo letu lingine hatusomi vitabu na mbaya zaidi ni hiyo lugha inayotuelezea historia yetu
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom