Je, ni halali mke arithi mali mumewe akitangulia?

Je, ni halali mke arithi mali mumewe akitangulia?

Mtoa mada umenigusa kwa kweli 80% ya uloyaandika ndio mim nayopitia naishi na mwanamke lakan upande Wa Mke na upande wangu hakuna mawasiliano
Ndio dunia ya leo mkuu. Hebu fikiri siku mkikorofishana unadhani wife atakimbilia wapi? Matokeo yake utakuta mama mkwe ana nguvu sana kwenye mahusiano yenu, ndiye anayemwongoza wife.
 
Inaonekana wazaziwako hawakukulea vema, asante kwamtazamo wako. Ni kawaida kwa kizazi kipya kutoelewa mada
Wewe ni mjinga. Wazazi wangu wameingiaje hapa?
Wewe inaonesha utawaolea wazazi wako.
 
Mimi huwa nawashangaa sana watu eti unataka oa mzazi anakataa kuwa hatumtaki huyo kama wao ndo wanaenda ishi naye.

Hizi mira na desturi ndio sababu Afrika haiendelei
Wazazi ni overrated, kusema uwasikilize kwa kila jambo hadi kuchagua mke ni kama walipoteza hela zao kusomesha. Dunia imebadilika, wazazi hawawezi kukaa na kuchagulia mtu mzima mke, mke unachagua mwenyewe unayempenda, msiwasikilize sana wazee wazamani watawalisha vitu wanavyoamini wao, mila na desturi za kizamani ambazo hazikuwafikisha popote.

Kama mtu umesoma basi tumia akili yako mwenyewe, ukishakua in y
 
Wasukuma unatujua unatusikia wewe?
Mwanamke yoyote akimuua mume wake na kwa bahati mbaya awe wa kutoka kabila jingine hahaha wataipenda mizizi yetu isikie tu hivyo hivyo.

Hata akiwa msukuma akifanya lile jambo ambacho kitampata atakwenda kumsimulia hadi Mungu
Mnavojua kuzubaa
Ukioa mchaga lazma akutangulize
 
Saa zingine wanawake wanawaua waume zao ili warithi mali maana wanakuwa hawana uhakika na muendelezo wa vitega uchumi vyao pale mme akifa. Hivyo bora ajiwahi mapema
Tumeachiwa urithi mbovu sana wa tabia, sijui na wakoloni au vizazi vilivyotangulia?! Mtazamo wangu ni kuwa mke ndiyo mrithi halali wa mali za mume, na wala si watoto wala ndugu wengine. Kila mtu atafute mali zake FULL STOP! Inatia kinyaa jitu kubwaa eti limekaa, vivu, zembe kusubiri mwingine mchapakazi, mtafutaji afe ligawiwe mali asiyoichuma!!!!
 
Sijasema udharau wazazi, nimesema usiwasikilize kwa kila kitu maana dunia ya leo sio sawa na ya zamani, wazazi kuwazidi experience kwenye lipi hasa? kuna mambo nawazidi experience na mambo mengine wananizidi, ni kitu obvious, ila kusema wao wana siri sijui za ndoa ni maneno tu mnajidanganya, ndoa nyingi watu wa zamani wanavumiliana tu, siku hizi unaona nyingi zinavunjika sababu wanawake wamepata voice, hawakai wakaonewa wakaendelea kukaa tu, zamani walikua wakionewa wanakua wapole tu hawafanyi lolote, wanaendelea kuishi kibishi. Hayo sio maisha ya kuishi. Unakufa 80-90years old, umeishi na mume miaka 50, kati ya hiyo 50 furaha ulikua nayo only 10% of the time, wakati mwingine ilikua shida tu, we only live once, mambo ya mwanamke kukaa ana-waste maisha yake kumvumilia mwanaume ni total bullshit bora angeondoka tu, what a waste of life seriously. I've seen first hand wazazi wanagombana mzee anapiga mwanamke na mwanamke anarudi tu coz hana choice, anadepend on the guy, mwanaume anaenda ku-cheat anarudi hata na magonjwa ya zinaa ndani, mwanamke anaendelea tu kuvumilia, is this the bullshit unachotaka tukae nacho tukivumilie? coz I promise you fuatilia utagundua ndoa nyingi za zamani wanaume ndo walivyo, tena karibia zote.

Wapo waliofanikiwa kuishi vizuri ndiyo kwa amani miaka yote, ni mfano mzuri ila ni wachache sana. Kukaa ukachukulia wazazi kama vile mwisho wa mambo utaishia kua mama boy miaka nenda rudi. Nashukuru wazazi walinikuza, wakanifundisha mema na mabaya, wakanipa elimu, ila ni wakati sasa wa kutumia akili zangu mwenyewe na sio kusikiliza kila wanachosema, wao nao wana tamaa pia, ni binadamu kama wengine. We leo upeleke mchumba wako wakwambia hawamtaki na wewe utasema tu "ndiyo mzee"? bila kujua hata sababu?

Asante mkuu, ila natofautia nawe kabisa. Ndoa za sasa zinavunjika kwa sababu wanawake wamepata voice? Ndoa zinavunjika kwa sababu wanawake wameacha jukumu lao la msingi, malezi ya familia (mume na watoto). Leo hii mume ni mtafutaji na mke ni mtafutaji, hakuna tena mpangilio wa ndoa, hivyo taasisi ya ndoa imekufa rasmi isipokuwa kwa wale wenye mapenzi mema tu. Wamebaki waigizaji.

Kama jnaamini wazazi wamemaliza kazi yako na sasa huna haja ya kuwasikiliza ni sawa tu, ndivyo ulivyolelewa. Mimi sikupeleka mchumba kwa wazazi, waliniita tukakaa na kushauriana. Kwanza wakaniuliza kama nimewahi kuona mahali oopote wa kunifaa, lenho wamchunguzs, I was flexible, niliwambia bado nasaka. Wakanipa mapendekezo yao kwenye familia tatu kuwa nitazame hapo. Kweli nilioa katika mojawaapo ya hizo nami sijawahi jutia. Mke wangu amekuwa mtoto wao kweli na imekuwa ni kama tumezaliwa tumbo moja. Nikimgusa kwa lolote wazazi wanasimama upande wake na kunirudi haraka.

Kuchukua mchumba kisha ukawapelekea wazazi ni utaratibu wako na wa vijana wa kisasa, wazazi watakubali yaishe kisha huyo mwanamke hatokuwa sehemu ya maisha yao. Kama vile wazazi wako walivyokulea ukiwa mtoto ndivyo wanavyotarajia utawalea wakiwa watoto (siku za uzee wao), hivyo mke wako imempasa kuchangamana nao, wawe radhi naye.

Hata hivyo hicho unachokifanya maadam ni chema machoni pako endelea tu mkuu
 
Sababu kubwa ni familia yako kuingilia ndoa yenu
Mtoa mada umenigusa kwa kweli 80% ya uloyaandika ndio mim nayopitia naishi na mwanamke lakan upande Wa Mke na upande wangu hakuna mawasiliano
 
Watu dizaini hii ndio wakifa wanaacha watoto wao wanakuwa machokoraa au changudoa.
Hutaki mkeo arithi mali zako, unataka nani arithi? Hivi kwani mali za mwanamke huwa za nani baadaye?
Uzoefu wangu katika maisha ni kuwa kipaumbele cha mwanamke yeyote ni watoto wake. Ndicho hata tunacholalamikia wanaume kuwa wake zetu wanajali watoto kuliko kutujali sisi (of course hatupendi hali hii), lakini ni uhakikisho kuwa hata nikifa mke wangu ataendelea kuwajali wanae ambao ni watoto wangu. Kwahiyo njia bora kuliko zote ya kuhakikisha urithi unawafikia watoto ni kumwachia mama yao (unless umeoa single mother akaja na watoto wengine ambao sio wako, hapo sasa ni wewe tu na uchoyo wako kama hutaki mtoto wa mwanaume mwenzio arithi mali zako, lakini kwa hakika mama atapigania wanaye).
Mtoto wa kike unamnyima urithi, na umemwacha ana miaka 15, si changudoa huyo unatengeneza? Umekataa kurithisha mkeo ukarithisha ndugu zako eti wakuchungie mali waje wamkabidhi mwanao wa kiume, uzoefu unaonyesha mali hizo huliwa, by the time mwanao anapata akili anakuta hakuna kitu kilichobaki vimekombwa vyote! Au ndugu zako wanamwekea zengwe mkeo wanamfukuza na wanao, wanaenda kuzurura wanageuka machokoraa huko.
Nyenyere acha ujima, mambo hayo yamepitwa SANA na wakati. Ndoa ni ushirika wa kudumu, na akifa mmoja anabaki mwingine kutunza watoto kama wapo. Kama hamna watoto bado mkeo ana haki ya kurithi vyote mlivyokuwa navyo pamoja, ndiyo kumbukumbu yako aliyobaki nayo.
 
Kuna sehemu tunapoint sawa ila kuna sehemu hatuwezi elewana kabisa. Sisemi ukoo ni kitu cha kutupilia mbali, ila ukikaa ukaishi kua kila kitu kifanywe kiukoo utaishia kufa maskini coz mtaishia kurudishana nyuma tu, kama ukoo una watu smart na wao wote wana goal la kuendeleza company ikakua then haina shida kabisa kufanya kazi pamoja, ila kukaa unafanya kazi na ndugu just because ni ndugu hata kama hawastahili then ni ujinga, same goes for watoto, sawa unaweza waachia mali na mfumo mzuri kuhakikisha kampuni inaendelea, ila sio kulazimisha kuwapa kila kitu kwa kua tu ni damu.

Ulivyoandika unamchukulia mke kama vile mtu katoka tu huko kaja kukuingilia, hadi unafika kuoa doesn't that mean umeshamchunguza na kukaa naye vya kutosha kujua kama ni sahihi au la? Mke unaoa wewe alafu unataka ndugu ndiyo wakae wanam-monitor wakupe report kama anafaa au hafai?

Mwanamke na mwanaume wako sawa ndiyo ila sio unavyofikiria wewe, kila mtu anajua biologically tupo tofauti, mwanaume hatoweza kuzaa hata siku moja, na mwanamke hatoweza kua as strong kuliko mwanaume, ndiyo natural law hiyo, ila apart from that tukija kwenye vitu kama nani anastahili nini, hakuna kumtenga mwanamke sababu tu yeye ni mwanamke, hakuna cha natural law hapo, ni construct tumeweka wenyewe tu kua mwanamke atafanya kazi hizi na mwanaume hizi, hata kama ni kitu any sex anaweza fanya.

Naungana na modern view kwenye mambo mengi (sio yote) kwa kua imeprove kufanya vizuri, anayesema zamani was better anatudanganya tu, kwenye human history hakuna wakati mzuri kama leo, miaka ya zamani kulikua na shida tupu, wanawake kuonewa, watu kuuana ovyo, world war, ubaguzi wa rangi ulikua wazi wazi, mwanamke alikua anakua treated kama slave majumbani, alafu unasema kau things worked well before? what before are you talking about? Generation hii mtu yeyote anauwezo wa kua na kufanya chochote anachotaka, sawa kuna mapungufu ila sio makubwa kama zamani. Wazee hua nashangaa sana wanvyokaa kulaumu this generation kisa tu wamesikia habari mbili tatu mbaya, wanasahau generation yao ilikua ni habari mbaya kila siku.
Kifupi tu, I am against feminism. Hivyo hatutaelewana.
 
Wewe ni mjinga. Wazazi wangu wameingiaje hapa?
Wewe inaonesha utawaolea wazazi wako.
Mimi pia ni mzee na ninaishi na mke wangu pamoja na ujinga wangu. So get your life man, wacha wanaojadili mada wajadili.
 
Mimi huwa nawashangaa sana watu eti unataka oa mzazi anakataa kuwa hatumtaki huyo kama wao ndo wanaenda ishi naye.

Hizi mira na desturi ndio sababu Afrika haiendelei
You never been to eurooe or america, so ishi maisha ya movie.
 
Watu dizaini hii ndio wakifa wanaacha watoto wao wanakuwa machokoraa au changudoa.
Hutaki mkeo arithi mali zako, unataka nani arithi? Hivi kwani mali za mwanamke huwa za nani baadaye?
Uzoefu wangu katika maisha ni kuwa kipaumbele cha mwanamke yeyote ni watoto wake. Ndicho hata tunacholalamikia wanaume kuwa wake zetu wanajali watoto kuliko kutujali sisi (of course hatupendi hali hii), lakini ni uhakikisho kuwa hata nikifa mke wangu ataendelea kuwajali wanae ambao ni watoto wangu. Kwahiyo njia bora kuliko zote ya kuhakikisha urithi unawafikia watoto ni kumwachia mama yao (unless umeoa single mother akaja na watoto wengine ambao sio wako, hapo sasa ni wewe tu na uchoyo wako kama hutaki mtoto wa mwanaume mwenzio arithi mali zako, lakini kwa hakika mama atapigania wanaye).
Mtoto wa kike unamnyima urithi, na umemwacha ana miaka 15, si changudoa huyo unatengeneza? Umekataa kurithisha mkeo ukarithisha ndugu zako eti wakuchungie mali waje wamkabidhi mwanao wa kiume, uzoefu unaonyesha mali hizo huliwa, by the time mwanao anapata akili anakuta hakuna kitu kilichobaki vimekombwa vyote! Au ndugu zako wanamwekea zengwe mkeo wanamfukuza na wanao, wanaenda kuzurura wanageuka machokoraa huko.
Nyenyere acha ujima, mambo hayo yamepitwa SANA na wakati. Ndoa ni ushirika wa kudumu, na akifa mmoja anabaki mwingine kutunza watoto kama wapo. Kama hamna watoto bado mkeo ana haki ya kurithi vyote mlivyokuwa navyo pamoja, ndiyo kumbukumbu yako aliyobaki nayo.
Mali inarithiwa na watoto, sio mke.
 
Ndoa iheshimiwe na watu wote. Ndoa ni muunganiko wa watu wa2 na kuwa kitu 1. Hivyo basi watu waiheshimu.

Hawa wanawake tunawachukulia kama accessories ndio maana huwa wanatuua mapema.
Ila mke akijua huyu ni mme wangu hata akifa mimi nitaendeleza familia hii hakuna atakayeisumbua ndoa.

Tatizo kubwa ni sisi wanaume kukaribisha ndugu kuwa washauri kwenye ndoa zetu. Hakuna ndugu atakayesifia lolote zuri mkeo atakalofanya na sababu kubwa ni yeye anataka afaidi. Mke siku zote ni mlinzi wa mali. Wazungu wanaishi miaka mingi na wake zao au huwezi kuta wameuana kisa mali sababu hawana mambo ya kipuuzi kama Ukoo au ndugu.

Mimi nina Msimamo wangu
EVERYONE FOR HIMSELF, GOD FOR US ALL
 
Pia ndoa anayozungumzia Nyenyere ni ya enzi za ujima, eti baba wa binti anakabidhi binti yake kwa baba wa mwanaume! Huo ni uongo! Kwamba sasa huyo ni mke wa ukoo mzima? Mila potofu kabisa hii na inatakiwa ipigwe vita.Mwanamke anapoolewa anakwenda kwa mumewe, kuishi na mumewe. Ni mwanaume mmoja ndiye anayeoa, siyo ukoo mzima. Taratibu za kuheshimu na kusaidia wakwe na ndugu ni pande zote.
Kaa na mila zako potofu. Kwa upeo walionao binti zangu nina uhakika hakuna hata mmoja atakayekuballi ujinga wa aina hii, na hata akiolewa akakuta upumbavu huo namkaribisha kwa mikono miwili arudi nyumbani.
 
Mwanaume akifariki anayestahili kumiliki mali ni mke/wake/Watoto wa Marehemu zaidi ya hapo ni uonevu.
Ukisema anayestahili una maana gani? Unazungumzia sheria ama? Kiasili mke atalelewa na watoto wake, kwa hiyo hawezi miliki mali. Why? Vipi akiamua kuolewa baada ya mume kufariki? Umewaza hilo?
 
Mali zangu nikifa kama nina mke wakati huo zote anabeba mke, sio ndugu wala nani mwingine, hadi tumependana na kuoana means I trust her 100% na ni my other half, nikiondoka kila kitu anabaki nacho. Kama nina watoto wakati huo najua sitooa jinga la kuwatupa, atawajali vizuri tu, na hakuna kulea watoto waje kua lazy, watoto walee wajue kujitafutia wenyewe, wakifika in their 20s hawahitaji hata hela za wazazi, wanakua na uwezo wa kujianzishia biashara wenyewe. Swala ni kua na mke mwema tu, ukiwa na kilaza na mwenye tabia za kijinga sijui umeoa kwa sababu ipi. Ndugu watajijua aisee, wao kama walishindwa kunitumia vizuri wakafungua biashara zao wakati mi mzima, wasisumbue familia yangu kabisa nikiwa nimekufa, ni sawa na kusema mzee afe alafu uone ndugu wa baba waje kumsumbua mama, haimake sense kabisa.

Watu mnamuona mke ka chui, kama mwanamke huwezi kumuamini 100% basi usioe. I date a woman I can trust period. Love does exist
Young Man; God Bless you!! Ndugu wengi wanapata tabu kwa kutotambua na kukubali nafasi zao katika maisha ya ndugu yao mwenye mke na watoto!!
 
Back
Top Bottom