Sheria haiku hivyo. KasomeSiku hizi mali tunasaidiana kutafuta, kama ni biashara mke nae anakuwa anafanya kazi kwenye hizo biashara kwa hiyo mume akifa automatically mali zinaangukia mikononi mwa mwanamke
Nikasome wapi?Sheria haiku hivyo. Kasome
Kwa kuongezea tu, kama uwezo upo, wote tu watoto, wadogo na wakubwa zako, wazazi na hata ndugu wa karibu ni vizuri kuwasaidia hasa elimu, ndiyo urithi namba moja. Mali na mengine kabisa kabisa wajitafutie za kwao.Mkuu kwenye kuthamini watoto wa jinsia zote bila kubagua tupo pamoja.
Endapo hii sehem ya mwisho niliyoinukuu ni ya kweli na unaiamini, naona watoto wanachohitaji sana kutoka kwetu ni malezi bora na elimu basi. Mali na mengine watajitafutia zakwao.
Na kwanini mambo ya ndoa yanapokusumbua unawahusisha? kuto...a sio kazi pekee ya ndoa! Na dhana kama hizi ndio zile zipatikanazo kwa wale ambao nyumba zao zimewashinda!! Ya kuambiwa changanyanya na yako!!Yaani unaoa kwa kufuata maelekezo ya wazazi? Kwani lazima wampende? Au wanakusaidia kutomba.a?
Oa kwa ajili yako na sio kwa ajili ya wazazi au mtu mwingine.
Mimi nilioa nikiyetaka mimi.
Wazazi wako walifanya jukumu la kukulea
Na hapa ndipo penye tatizo, kusoma kusiondoe maarifa. Wazazi wanafanya mambo kwa experience, wameishi miaka mingi, wamepitia mengi. Wakati wewe ndio kwanza unajiandaa kuingia kwenye ndoa na elimu yakko na akili zako za darasani, wao wako karibu kabisa kuiaga dunia baada ya kuishi miaka mingi kwenye ndoa. Wao wana elimu kubwa ya maisha lich ya degree zako.
Huwezi kuwazidi wazazi experience, ongelea mambo ya kazi na elimu ya darasani. Usiqadharau wazazi mkuu, wana mchango katika maisha. Pia kumbuka mtoto hakui kwa wazazi.
Mnaumwa nyie ndo wonder wamama huwa wanawatanguliza kwanzaKusoma ni kuelewa
gonga hiki ki-kitabu kitakusaidia halafu uje unishukuru inboboNikasome wapi?
Nadhani hujaelewa hata nilichoandika. Hakuna sehemu hata moja nimeandika mke ni adui kama chui, soma kwa uwazi. Nimelinganisha mifumo ya maisha kwa wana ndoa tu. Hiki ulichoandika ndio huo mfumo wa kizazi kipya chenye ubinafsi
Huo ni mtazamo wako ambao ni ule wa haki sawa. Why? Unaposema mkeo ni other half maana yake yeye si msaidizi tena, ni mwana hisa ambaye amewekeza asilimia 50 kama wewe nsdani ya ndoa. Hiyo haimaanishi hata kidogo kwamba ndio unamwamini zaidi kuliko wale wanaomchukulia mke kama sehemu ya ukoo wao. Tofauti kati ya huo mfumo wako na ule wa awali ni kuwa unajijengea ukoo wako mbali ni kuendeleza ukoo toka kwa wazazi, unakuwa umejitenga na jamii pana. Ni modern view ambapo mwanamke na mwanamume wako sawa kwa kila kitu ingawa hii ina defy natural law.
Hakuna atakaye kuoa mke mjinga, lakini wengi wa mtazamo wako wamekuja kulia majuto makuu. Process ya kupata mke mwema ni zaidi ya kupambana peke yako, inahitaji guidance, tena mke mwema anategemea malezi uliyolelewa ili kuweza kumtambua.
Watoto kufanya biashara wakifika kwenye 20s ni haja ya kila mzazi, ama wapate ajira. Kikubwa ni kuwa wajitegemee, na huo ndio mfumo wa awali ambao kwa kiasi kikubwa ulifanya hayo kwa ufanisi. Leo hii zimebaki wishful thinking tu kwa sababu mfumo wa sasa hausapoti kwa kiasi kikubwa mtazamo huo. Watoto wanafika umri huo wakiwa hawajitambui, hawana mtazamo wa future, wanatamani mwaishi kama kina Ja Rule huku hawana mbele wala nyuma. Wanashindana kukariri mashairi ya hiphop tu.
Unaposema hawahitaji hela za wazazi unakuwa umetoka nje ya mada. Kwani mzazi akifariki akaacha mali zake hupelekwa wapi? Kwenye NGO au kwenye taasisi za watoto yatima? Mtazamo huo ni wa kizazi kipya, disjointed usio na mtazamo mpana wa ukoo. Ni kama mtu anayeishi kisiwa cha peke yake akianzisha uzao wake. Ukweli ni kwamba kuna wakati mali za wazazi itabidi ziendelezwe hasa pale wanapokuwa wameacha mfumo mzuri wa kibiashara.
Hebu mtazame Bhahresa na mali zake, unadhani anaishi kwa mtazamo wako wewe kuwa watoto watafute mali zake na wamwache yeye wasihubutu kumwingilia? Je, ukoo wa Bharesa hawahusiki kwenye utajjri wake? Hayo ni mawazo ya maskini kuwa nikipata mali mtu asiniingilie. Hakuna anayekuingilia kwenye mali isipokuwa una mtazamo hasi.
Unapokosea ni pale unapotazama habari ya kugawana urithi, mimi naongelea kuendeleza mali za ukoo. Siku hizi kwa sababu ya ubinafsi kila mtu anajitazama yeye, hata hao watoto wako wanaweza kugombania hizo mali na mama yao kiasi pasibaki hata kijiko. Mzazi mwema ataacha mfumo mzuri wa kibiashara ama mfumo endelevu, ili watoto wafit naturally katika huo. Hakuna habari ya ndugu kurithi mali, bali ni mali iendelezwe. Ndivyo ilivyokuwa, sio kuuza ili wagawane, watoto walisimamia moja kwa moja.
Mambo ya kumwamini mke, yalikuwa na nguvu sana kwa mfumo wa zamani, sasa hivi ni hadithi tu mkuu, wake wa leo hawatoki makwao. Ukifikia kuoa utalijua hili, lakini kubwa zaidi unatafuta mali ili ukiondoka uwaache wanao sehemu nzuri, uache legacy ndani ya ukoo. Kama unaunda ukoo wako kupitia mwanamke basi sawa, lakini kama unaendeleza ukoo, mkeo atakuwa sehemu muhimu ya ukoo wenu, tena hutathubutu kuwaambia ndugu mniache na mke wangu.
Anyway, ni mtazamo wako mkuu ambao ndio modern view.
Kurithi ni pale unapokufa. Nadhani utazikwa na mali zako, pole sana. Umepotea ama huelewi maanaHebu nieleweshe mkuu. Maana urithi wa asili ni wa sura, tabia na mambo utakayomrithi wa/mzazi wako tu vinginevyo chagua wewe neno linalokupendezea. Ndiyo, mke wangu atanirithi na si wa/mwanangu. Tafuta chako.
Ungesaidia kueleza hayo, ndio maana ya mjadala. Lakini kwa sababu umesoma ukiwa na pocha fulani ndio maana umehukumu hivyo. Good for you.Bias.
Hujawa objective. Hujaeleza hasara za mfumo wa kwanza. Hujaeleza faida za mfumo wa pili.
Hujaeleza hiyo shida ilianza kutokea lini na kwanini. Hujaeleza mfumo upi unaendana na mazingira ya sasa ya kuchanganyikana na utandawazi.
Imebidi niishie katikati kwasababu there is no way unaweza kuwa na objective conclusion kama analysis yakl.iko biased hivyo.
Si kwa maana hiyo mkuu, hujaelewa. Kuunganisha ukoo kunaletwa na ndoa ya watoto. Maana yake mnachangia damu, ila watoto wanakwenda kuendeleza ukoo. Sio kujaza ndugu nyumbani, haimaanishi hilo.Haya ya urithi niyaweke kwanza kando, ndoa ni muunganiko wa wewe na mkeo na sio ukoo wenu. Huo ukoo ndio uliojaa nyumbani kwa yule mwimbaji hadi dada wa watu akakumbuka mirungi akaenda kwao
Nadhani hatujaelewana dhana ya urithi. Labda niulize, watoto wako wakitafuta mali zao lakini mwosho wa siku ukifariki hizo mali zako utazikwa nazo? Hatuongelei kugawa mali kwa watoto, tunaongelea pale unapoacha mali zifanyiwe nini.Kwa kuongezea tu, kama uwezo upo, wote tu watoto, wadogo na wakubwa zako, wazazi na hata ndugu wa karibu ni vizuri kuwasaidia hasa elimu, ndiyo urithi namba moja. Mali na mengine kabisa kabisa wajitafutie za kwao.
Kwa watu wa kada ya chini (kwa kipato) ni kweli unayosema. Sasa hivi vijana wanakwenda na trend, hivyo akili zimekuwa programmed kuona mambo kama media zinavyotaka. Hata definition ya urembo inabadilika na wakati, ni mambo ya kupita. Siku za nyuma mwanamke mrembo alikuwa english figure, leo hii matako makubwa ndii kila kiu, it's the matter of season.TAASISI YA NDOA, haina fomula hata kidogo.....mshirikishe Mungu unayemuamini.......kweli wazazi wana nafasi nzuri ktk kushauri mke mwema, but suala la kunichagulia bado ni tatizo.....mr Nyenyere najua una hoja ya msingi...na hata wachangiaji wana hoja zao.....ila hakika kila mmoja atapata la kujifunza kutoka pande zote,,,, mleta hoja, wachambua hoja na wapinga hoja.....