Je naweza weka gypsum board na mikanda then baadae nikatandaza ile final wiring?

Sep 24, 2014
53
32
Wakuu niko njia panda kipi kianze je naweza weka gypsum board na mikanda then baadae nikatandaza ile final wiring juu ya dari maana kuna wizi wa hizi nyanya sana
 
ukifanya wiring baada ya kuweka board, siyo vyema as kutakua na giza kule juu, na hewa itakua finyu, kazi itakua nzito kidogo
 
Wakuu niko njia panda kipi kianze je naweza weka gypsum board na mikanda then baadae nikatandaza ile final wiring juu ya dari maana kuna wizi wa hizi nyanya sana
Sikushauri hata kidogo.

Kama uwezo wa kufanya wiring na kuweka Gypsum kwa pamoja huna, basi subiri. Dunduliza kwanza.

Siku utakayofanya wiring siku hiyo hiyo uweke na Gypsum.
 
Wakuu niko njia panda kipi kianze je naweza weka gypsum board na mikanda then baadae nikatandaza ile final wiring juu ya dari maana kuna wizi wa hizi nyanya sana
Kuanza kuweka gypsum kunaweza kukugharimu baadaye ikiwa fundi wako wa umeme hatakuwa makini katika kufanya kazi yake.
Tahadhari kubwa lazma ichukuliwe wakati anafanya wiring.
Mimi nimefanya kwa Boss mmoja Dodoma,but nashukuru mpk namaliza sikuvunja gypsum yoyote...lakini nilimwambia kazi kama hizi unaweza kujikuta unaingia gharama mara mbili, hasa ikiwa nyumba yako ni fupi kwenye dari,.aana fundi atakosa nafasi ya kufanya kazi yake kwa ufanisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…