Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,221
- 98,176
Membe wanakaribishwa tu
Vipi Membe bado hamjanasa kwenye vikao vya siri na Mwamba?
Vipi Membe bado hamjanasa kwenye vikao vya siri na Mwamba?
Aliyekuwa mbunge wa Arumeru kupitia cdm, amenaswa na camera zetu akiwa na kikao cha kificho na Dc wa ccm.
Kuelekea uchaguzi wa October tuwe sana macho na wagombea wetu. View attachment 1500311
Ulishawahi kuona unafiki wangu humu jamvini?Gambo alisha sema kuwa uvccm ni wanafiki na wafitina na mkizeeka lazima mtakuwa wachawi na wewe ni mmoja wapo
Kamanda anatetemeka baada ya kuona jahazi linazama na manahodha wanaruka kujiokoa.Kamanda Vipi kwani kuna kosa gani hapo?
Kuna sehemu nimsema kuna kosa?Kamanda Vipi kwani kuna kosa gani hapo?
Ulishawahi kuona unafiki wangu humu jamvini?
Anayekosea huwa namchana live na anayepatia huwa namsifia.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Kwanza picha ya zamani,hata ingekuwa picha mpya Kuna tatizo gani kukutana na dc au amevunja sheria? Pili hapo ndio eneo la kificho si ni hotelini na Ni eneo la wazi mnakwama wapi Cha Domo?Aliyekuwa mbunge wa Arumeru kupitia cdm, amenaswa na camera zetu akiwa na kikao cha kificho na Dc wa ccm.
Kuelekea uchaguzi wa October tuwe sana macho na wagombea wetu. View attachment 1500311
Kamanda anatetemeka baada ya kuona jahazi linazama na manahodha wanaruka kujiokoa.
Kwa hiyo hapo kuna kosa gani?Aliyekuwa mbunge wa Arumeru kupitia cdm, amenaswa na camera zetu akiwa na kikao cha kificho na Dc wa ccm.
Kuelekea uchaguzi wa October tuwe sana macho na wagombea wetu. View attachment 1500311
Ole Sebaya anaongozwa na tumbo pia nizero brain kama John
Anyway, I reserve my comment, until then.
Ila huyu Sabaya anaewachukia kina Lema na Mbowe halafu wewe uwe na urafiki nae, basi atleast hata angemshauri Sabaya aache roho mbaya.